Familia ya Lowassa kutomtaja Kikwete rafiki kipenzi wa Baba, je ni kukosa shukran?

Rafiki kipenzi? Tutake radhi tafadhali.

Familia ya Lowassa wamenifurahisha mno, ni nani asiyejua usaliti aliofanyiwa baba yao na huyo unayesema ni rafiki kipenzi?

Hivi ndivyo inavyopaswa kuwa, ile tabia ya unafiki misibani ikome.
Yaani jk kapewa makavu live, huyu kasababisha laigwanani afe kabla ya wakati.
 
Watanzania tukubali ukweli wa maamuzi ya familia. Usimtendee ubaya mwanafamilia ukahisi watoto na mke wake watakupenda.
Ukweli ni huo ,JK HAKUBALIKI KWA FAMILIA TAJWA
 
Watu wanajitoa ufahamu kwa kujifanya hawajui jinsi CCM inavyooperate.

Huyo JK mnayemlaumu kumkata Lowasa mwaka 2015, mbona yeye JK mwenyewe alichezewa Faulo ndani ya CCM mwaka 2015 na akatulia.

Huwi rais kama hujaandikiwa kuwa Rais
Maamuzi ya kumkata mgombea siyo ya mtu mmoja (Rais), labda awe dictator), ambapo JK hakuwa.
Sasa basi tuzigawe lawama kwa wote isipokuwa comrade Nchimbi na wenzake.
Tunahitaji facts zaidi, ili tumlaumu Kikwete kisawasawa (yawezekana alifanya manuovre ili jahazi lisizame kwa sababu ya mapambano ya abiria ndani).
Kwa tunayoyasikia na kuyaona, hata Historia inapindishwa, kuna upuuzi mwingi sana kwa watumishi wa Uma wanavyoshghulikia mambo ya siasa. CCM ni dude kubwa lilipata momentum huko nyuma, uelekeo wowote linaenda (hivyo Kikwete aweza kuwa victim wa circumstances).
 
 
Lakini kwenye shukrani zote, hakuna mahala ambapo Kikwete ama mwanafamilia yake kutajwa kuwa karibu na familia nyakati za kumuuguza baba yao kipenzi.

Tulimsikia mhe. Kikwete akizungumza pale Masaki alipokwenda kusaini daftari la maombolezo akisema, urafiki na ukaribu wao ulidumu hata baada ya ajali ya kisiasa ya Lowassa pale Bungeni.

Kikwete ndiye aliyepaswa kumshukuru Lowassa hadi hapo alipo, na mwingine ni hayati Kambarage...
 
Rafiki kipenzi? Tutake radhi tafadhali.

Familia ya Lowassa wamenifurahisha mno, ni nani asiyejua usaliti aliofanyiwa baba yao na huyo unayesema ni rafiki kipenzi?

Hivi ndivyo inavyopaswa kuwa, ile tabia ya unafiki misibani ikome.
Haahahaha makavu live hakuna kusifia wasaliti na wanafiki
 
Mathayo 26:52 Ndipo Yesu akamwambia, Rudisha upanga wako mahali pake, maana wote waushikao upanga, wataangamia kwa upanga.
 
Back
Top Bottom