Familia Maarufu Dunia

Familia Maarufu Dunia

boma2000

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2009
Posts
3,321
Reaction score
318
MJ004_010.jpg

10766-la_famille_jackson.jpg

10766-la_famille_jackson.jpg

Hawa ni The Jackson Family, yupo La toya, Michael, Rand, Rebbie, Jermaine, Janeth.
Hapa ilikuwa kabla hawa jachakachua sura zao halisi za kiafrika
 
Boma jamani mbona picha sizioni :crying::crying::crying:
 
MJ004_010.jpg

10766-la_famille_jackson.jpg

10766-la_famille_jackson.jpg

Hawa ni The Jackson Family, yupo La toya, Michael, Rand, Rebbie, Jermaine, Janeth.
Hapa ilikuwa kabla hawa jachakachua sura zao halisi za kiafrika
Nimekusaidia tu mkuu, ila uko mimi sipo.
 
Nadhani ya Malkia Elizabeth ndio maarufu zaidi kuliko wao
 
Nadhani ya Malkia Elizabeth ndio maarufu zaidi kuliko wao

si ya Gaddafi? maana malkia ameona bora aibomoe ili umaarufu wa hiyo familia upotee ili familia yake ndiyo ibaki kuwa maarufu:smile-big:
 
Mkuu naona bado una machungu na mambo ya Royal wedding. Kusema kweli The Jackson Family sio familia maarufu duniani tena.
 
Back
Top Bottom