Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,488
- 40,504
Mwanaume ni kiongozi wa familia, hii ni kutokana na asili ya uumbaji. Kuna kipindi, mwanamke lazima amtegemee mwanaume, iwe ni kwenye kufikiria au kutoa maamuzi.
Kwa wale ambao hawaishi na wanaume, wanalijua vizuri gepu lililopo hasa pale mwanaume asipokuwa katika maisha yao.
Ndio maana wengine, wanajikuta wakilazimisha kuendelea kuwa michepuko ili kuwa karibu na mwanaume, na kufanikisha 'nature' iliyopo.
Mwanamke bila mwanaume, huishi maisha ya mateso sana hasa kinafsi, hata kama atakuwa na kila kitu; lazima apate tulizo la moyo wake, awe wa kuiba (kuchepuka), au wa kujimilikisha.