Then a good question is, have you ever been in love?You must be into granny-sex mkuu.
Huyu bibie ameuteka moyo wangu kupita kiasi, imefikia muda sasa nakosa usingizi nyakati za usiku.
Bibie naomba usikilize kilio changu, nimeshindwa kuvumilia natangaza ndoa
Chunga usije sarandia dume jenzio.
Huyu bibie ameuteka moyo wangu kupita kiasi, imefikia muda sasa nakosa usingizi nyakati za usiku.
Bibie naomba usikilize kilio changu, nimeshindwa kuvumilia natangaza ndoa
Mkuu huyu ni mtu mzima sana anaaproach 60 now....Pia ni muislam mwenye msimamo mkali sana......Yan ni mdiniiiiiiiii kuanzia kichwani hadi kwenye unyayo...Yeye aliwahi kuwasifia waziwazi alshabab na alqaeda kwa jinsi wanavyoua wakristu.........waiiii wewe nawe una pepo!
ndio kusema kahtaan Ritz watakuwa mashemeji zako!? laaaa haulaaaaaaa..
by the way naskia kaka MziziMkavu ndio mume.
Mkuu huyu ni mtu mzima sana anaaproach 60 now....Pia ni muislam mwenye msimamo mkali sana......Yan ni mdiniiiiiiiii kuanzia kichwani hadi kwenye unyayo...Yeye aliwahi kuwasifia waziwazi alshabab na alqaeda kwa jinsi wanavyoua wakristu.........waiiii wewe nawe una pepo!
Moyo mashine.....Huyu bibie ameuteka moyo wangu kupita kiasi, imefikia muda sasa nakosa usingizi nyakati za usiku.
Bibie naomba usikilize kilio changu, nimeshindwa kuvumilia natangaza ndoa
Mume wake SI yule mpare anaeletaga thread zake huku za namna gani VIP, ushanipata kiongozimiye nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa ff ni ke mmmh kama ni ke kweli basi atakuwa ke talented kuwahi kumshuhudia
Umekuja naona wamekimbia, nimekumiss sana kipenzi.Eid Mubarak
kwa mbali nimekupataMume wake SI yule mpare anaeletaga thread zake huku za namna gani VIP, ushanipata kiongozi
umenichanganya ni taasisi tena
Kullu amm wa antum bikheyr bibieEid Mubarak