huo ulikuwa ni mfano tuu wala si kigezo. Maana msimamo wa mtu haupimwi kwa kunyima game tuu!
Hahahaaaaa! Harusi hiyo mbona hata mie nisipoalikwa lazima niibuke!!!! Nashona tu sare najifanya ndugu wa Mkatakiu Upo hapo?
Sio unajishaua na kubeba box wakati upo kwenye WHITE COLLAR JOB ili tusikuagize zawadi!?
kwa zama hizi ndoa ni 50-50.....ndomana mkatakiu kasema anaoa lakini wakizinguana wanapart ways na maisha yanaendelea...sio ka zamani eti bila ndoa binti aionekana kioja ama disgrace kwenye family...nowdays women wamefunguka macho wamekuwa courageus na well off financialy wanaweza take care of the family without a man..thats y single parent families zimekuwa zikiongezeka
Hapo kwenye red imebidi tu nicheke....naomba tuonane kwenye HARUSI ya MKATA KIU
Halaf hii username huyu dogo sijui kasoma MU?.............................
no umesisitiza sana kujitunza na kutokutoa game ref. post zako.....hii topic inahusu kuweka rules kwenye relations ili kuepuka side effects zitakazo jitokeza ktk relation husika ambayo watu hawataki kujicommit bt they want to enjoy the game....
Ndo alikuwa anaanzisha kata kiu zilee afu blck zingine wanapokea! Duuuuh! Ila hawakumfikia ZEE LA PUNCH!!!!!!! We huoni ana swagga za MU! Ingekuwa IFM ungejua! Ila UDSM ndo nundaaa chadema kweli kweli! Hapendwi mtu!
UFALME WETU SI WA JF HII!!!!!!! Watu mambo yamebadilika ila wanakomaa kukumbatia mfumo uliokuwa outdated! Mwishowe wanalia lia daily!
Mtu anajiaminisha mazuri yasiyokuwepo, watu wamekuwa nundaaa kweli, sasa wewe jitu nunda ukilitreat kama Angel lazima ulie! Ndo watu mtu 30 hajaolewa keshapanic kuganda wanaume! Badala azae tu mwanae aendele kutafuta furaha ilipo anakalia kuwaza jamii inamuonaje?
Give me a breaaaaaak!!!!!!!!!
Hahahaha @lara1 sawa ntawapa wa kijijini kwetu umenichekesha sana,, lakini naona umeshagundua utofauti wa post niliyo kuquote mwanzo na hizi unazo jibu, kimbuka zile haukuongelea vigezo na masharti lakini swal la kujitunza ni muhimu sana, kama unavyo sema wanaume wengi waongo kwa hiyo kuwa makini ni muhimu sana, na lazima uwe na vipimo vizur hata kama ndoa ni mtihani!
Sasa wewe huoni kama kuto kutoa game haraka kunaweza kusaidia na huo unaweza ukawa ni mmoja wa msimamo tahbiti?
UFALME WETU SI WA JF HII!!!!!!! Watu mambo yamebadilika ila wanakomaa kukumbatia mfumo uliokuwa outdated! Mwishowe wanalia lia daily!
Mtu anajiaminisha mazuri yasiyokuwepo, watu wamekuwa nundaaa kweli, sasa wewe jitu nunda ukilitreat kama Angel lazima ulie! Ndo watu mtu 30 hajaolewa keshapanic kuganda wanaume! Badala azae tu mwanae aendele kutafuta furaha ilipo anakalia kuwaza jamii inamuonaje?
Give me a breaaaaaak!!!!!!!!!
no umesisitiza sana kujitunza na kutokutoa game ref. post zako.....hii topic inahusu kuweka rules kwenye relations ili kuepuka side effects zitakazo jitokeza ktk relation husika ambayo watu hawataki kujicommit bt they want to enjoy the game....
Hahahaha loya bana we endelea kula ganzi wenzio wanajilia kisela.....hahahah eti msimamo....
Tatizo lenu mnadhani mnabadilika peke yenu..hao wanaume mngejua nao wanavyowabadilikia wala usingesema haya..
Yaani utake USITAKE mwisho wa siku wa KUUMIA ni mtoto wa kike tu.....kikubwa cheza kwa kadiri ya 'melody' na 'beat'..
Hahahaaaaaaaaaaa! It sounds wild! No commitment but Enjoy the game!!!!!!!! Ila ndo times tunazo ishi hizi! Ukijifanya kuignore things hizoo zina fall apart!
Muhusika ni WAKUJA!!!!! So kafeli inerview! Hajikidhi vigezo na masharti nafuu japo ya game tu!
Hivi sasa katika hizi zama zenu NDOA mnaipa nafasi gani??..
Unajua sie tumekuwa maisha yalikuwa sio kama leo, ukiwa na vijishilingi tu mademu kibao..sasaivi you need to establish a status in order to catch a gorgeous lady?.....
Mwl gfsonwin asante kwa ushuhuda! Huyu loya kwa nini aliaharibu sasa! Any way nadhani wa kwako alikuwa huyo wa mwisho!
Msimamo ulio kuwa nao wewe mwl wangu@gfsonwin ni nadra kuupata kwa sasa si kwamba watu hawawezi bali ni life style walio hamua kuwa nayo, mahusiano ya mejaa maigizo sana,mtu ana wiki mbili kwenye mahusiano lakini amri ya sita imesha vunjwa hadi imevunjika can you imagine?.
Na hapa unakuta lawama nyingi ni kwa wanaume kuwa ni waongo lakini wanao sema wana danganywa misimamo hawana kabisa! Me nafikiri wasichana wangeiga mfano wako nadhani mahusiano yangekuwa yana kwisha salama. Fikiria mtu unakuwa na uhusiano na mtu miaka nane bila kusogelea zinaa, kwakweli ni msimamo thabiti sana maana kama mtu alikuwa ana mpango wa game tu lazima ajitoe mwenyewe!
Am proud of you mwl