..Siku hizi having fun na kuenjoy kuna maana zaidi!!!!!!! Its better nijiachie na a guy anayenivutia kuliko kujiachia na jitu halivutii ila ndo lenye msimamo wa ndoa! Give me a breakkkkkkkk! MY HAPPINESS AND ENJOYMENT COMES FIRST!..Haina kulazimishana siku hizi! Huko kwenye mechi za kirafiki mkikolezana nd mwaoana coz upendo unakuwa genuine!
Hii mbinu yenu ya 1980s ilifanikiwa enzi hizo watu wanatoka shamba hukooo! Ila kwa sie born here here! Aaaaaah Wapi! Humpati mtu mbona! Utazeeka bila kudo!
Hahahaaaaaaaaaaa! Embu mpumzishe tichaa! Stori ina over 20 years toka i happen so its possible hakumbuki details vizuri! Cut her some slack!
Ila washika pembe wanafaidigi!!!! LOL! Ngoja na mimi niwakumbuke kwa sms usiku huu washika pembe wangu huu msimu wa X mass! You never know till you know!
Weeeeeeeeee! Thubutuuuuuuuu! Times are changing siku hizi! Sisi wenyewe tunataka wanaume handsome wenye pesa zao! Isitoshe umzungushe mwenzio kwani bado Bikra! Koz ukimzungusha akikuta used unamkasirisha zaidi!
Siku hizi having fun na kuenjoy kuna maana zaidi!!!!!!! Its better nijiachie na a guy anayenivutia kuliko kujiachia na jitu halivutii ila ndo lenye msimamo wa ndoa! Give me a breakkkkkkkk! MY HAPPINESS AND ENJOYMENT COMES FIRST!
Haina kulazimishana siku hizi! Huko kwenye mechi za kirafiki mkikolezana nd mwaoana coz upendo unakuwa genuine!
Hii mbinu yenu ya 1980s ilifanikiwa enzi hizo watu wanatoka shamba hukooo! Ila kwa sie born here here! Aaaaaah Wapi! Humpati mtu mbona! Utazeeka bila kudo!
hao mashosti nawaambia wa nn?? hiyo itakuwa siri yangu moyoni mkataba ukiisha ntawaambia jamaa tumetofautiana world outlook....hahahahahah
He who laughs last laughs longer...kusema ni rahisi..utekelezaji sasa??
Unadhani kibongobongo shoga zako watakusoma ukiwaambia 'hapa nakula good times tu..ndoa sio mpango mzima'
Prisoner 46664 hebu muulize Ciello kama ana kifua...
Yani we binti unaniacha hoi na maigizo yako! Alaf swala la kujitunza sio mpaka uwe bikira!
Hivi hata ukikubali kumpa kila handsome boy na mwenye pesa unategemea kuwa peke yako? Hivi unafikiri wanao zitaka hizo pesa utakuwa ni wewe tuu binti @lara1? Kama ni hivyo jipange kulia maana hata siku akikuacha ukazikosa hizo raha utaumia pia!
N:B punguza maigizo @lara1
ticha kaficha details nyingi tu...kasimulia story ka ya abunuwasi, ngoja akiamka huenda akaleta story iloshiba nyama za kutosha....
Umesahau tabia ya mabinti yaani aki-date na mtu shuruti shosti zake wajue
Kwa mpango huo unadhani itajkuwaje?....lazima upige kitu cha 'sugar-coat'..
Snow huko unakoishi punguza kula bugger urudi home! Huo ndo mpango mzima siku hizi mbonaaaaa! Esh!!!!!!
Tena ni defence mechanism akikutosa tu unajikosha i knew what i was getting into mbona!!!!!! Wala sijaumia !!!!!
Siku hizi maisha magumu sanaa kuwaza mara mbili! Akija type yako unakula nae raha za dunia tu! Mkikolezana terms n conditions zinachange huko mbele kwa mbele!
Sema akija mtu humfeel wala nini lazima afanye kazi ya ziada aisee! USINIKUBALI HARAKA HARAKA definately itaapply 100% tena hata na zaidi mbonaaa!!!!!!
we loya hebu acha porojo mabinti ndo hawan msimamo ama nyie ndo mnataka vidude first hand?? nyie ndo muache kulilia vidude mapema muwe wavumilivu la hamuwezi basi muwe wawazi....men wa type ya mume wa mwl gfsonwin hawako sasa hivi sasa iweje utake kufosi mabinti kuwa kama mwalimu while nyie mmechange?? be realistic
Yani we binti unaniacha hoi na maigizo yako! Alaf swala la kujitunza sio mpaka uwe bikira!
Hivi hata ukikubali kumpa kila handsome boy na mwenye pesa unategemea kuwa peke yako? Hivi unafikiri wanao zitaka hizo pesa utakuwa ni wewe tuu binti @lara1? Kama ni hivyo jipange kulia maana hata siku akikuacha ukazikosa hizo raha utaumia pia!
N:B punguza maigizo @lara1
naijua ila uzuri mie huwa sitangazi ,nawatel ninao waamini mno,kwani hawachelewi kumkwapua!!!
We binti Ciello
Tatizo ni kujirahisisha tuu! Muda mwingine mtu anaweza kukuomba penzi ili kukupima ukoje lakini ukakubali na yeye ana piga alaf ana kimbia,alaf msimamo tangu mwanzo wa mahusiano unaweza kuwa muongozo kabisa!
Alaf naamini kama unamsimamo kweli na mtu ana kupenda kweli mtakwenda sambamba!
Kama mtu ana hitaji game asipo ona mafanikio lazima ajitoe tuu!
... Kama umebaki baki, n reserve ya self! Tunaogawa tuache kabisaaa kwani ni vya kwetu wenyewe ndo tunaovigawa!
Lakini si unajua RAHA ya mapenzi muonekane..
Inakuwa hainogi kama mashosti zako hawajui nani unatesa naye...right?
Ugumu uko pale kama hawakusomi na 'terms' zako ulizojiwekea as most of girls wanataka 'tangible' benefits
loya bana umekuwa marriage/relationship councilor nn?? ila ushauri mzuri kwa lara 1
Kota kweli wewe! Juzi hapa nimetoa maelekezo ya kutosha juu ya maigizo! Tena ngoja nifate zile quote maana watu washaanza kujifanya wananijua sanaaaaaaaaa!
Kitu kama hukijui mjini hapa chunguzaa usibishe maana utajikuta unajiaibisha bureee! Mi ndo maana kama jambo silijui sijitii ujuaji kumbe najiaibisha!
Sitaki kuamini kama ulimaanisha hivo...right??
ni kweli raha ya mapenzi muonekane ila mtu mwenyewe najua ni wa kula gud tym 4sm tym tu sasa hizo show game kwa mashosti nafanya za nn?? ni vizuri kuepuka hili ili hata ukifika muda wa kubreak the deal usiumie sana...ni afadhali wasinisome kuliko kunidis contract ikiisha....