fainali uzeeni

tena akaogee kabisa
nisipokunywa hadi nizime
leo nitanyemelea mtu na mwichi

hahahahahahaa...umetisha aise...heinken sio?
maji ya vuguvugu nae analeta ya nn?hayo akaogee!
LOL
 
labda heinken itasaidia aisee
vinginevyo, bora nitangulie segerea

siriaz, mtu kantoroka miaka 12
leo anarudi mikono mitupu???

Pesa zote katumbua na vimwana??
Afu niwe na moyo wa subira kweli?

mgawane majengo ya serikali we ukienda segerea hakikisha na yeye anaenda tumbi hospital..

Miaka 12?dah kweli smol hausi ilimkamata zaidi ya ulimbo wa BOT(noti mpya)..

Samehe 7*70 kwani usipochafuka utajifunzaje..
 
simsamehi
hata akienda kupima simtaki
na naanzisha tabia ya kuleta mabwana nyumbani

hadi aondoke kwa hiari

nikienda segerea, jua yeye mtakuwa mnachangisha michango ya mambo mengine kabisa

shujaa mama,mm nakuacha kidogo...
ila kesho ntarudi kukucheki...
ww ni komando...
najua ushindi unao...
mbona kashatoka huyo.
 
labda heinken itasaidia aisee
vinginevyo, bora nitangulie segerea

siriaz, mtu kantoroka miaka 12
leo anarudi mikono mitupu???

Pesa zote katumbua na vimwana??
Afu niwe na moyo wa subira kweli?

hahahaha,hiyo kali!kaogee maji ya bahari dear huo mkosi.
 
Loh! alidhani watu hawatakula wala kuvaa?
Mwenzangu mwambie wrong number ajaribu tena! Si tulisikia kapata kazi mgodini leo anasema hela zote kaporwa na matapeli, muongo huyo!
 
tena nasema mkomae mabinti zangu
siyo mnapelekeshwa tu,
nimewasomesha ili mjitambue, mnasikia eeh.
 
dah, ujana ule na wengine uzee upeleke kwa mwingine.
Mihela utumbue na wengine, umaskini uniletee mie.

Inahusu? Nikome babu wee
utasugua benchi sana mwaka huu, hata hela ya dala dala huna.

Hivi baadhi ya wanamme akili walibinafsisha?
Kazi kuleta tu magonjwa

Ila fainali uzeeni

Unajua mimi sijakaa uswahilini kwa hiyo mambo ya mipasho mimi siayafahamu. Una maana gani kuandika hivyo bibie kongosho?
 
dah, ujana ule na wengine uzee upeleke kwa mwingine.
Mihela utumbue na wengine, umaskini uniletee mie.

Inahusu? Nikome babu wee
utasugua benchi sana mwaka huu, hata hela ya dala dala huna.

Hivi baadhi ya wanamme akili walibinafsisha?
Kazi kuleta tu magonjwa

Ila fainali uzeeni

Tena mwambie akome kabisa awafuate waliomchuna wamlee.
 
Khaaaa skujua JF kuna wataalam wa tarabu pia. Hii sredi hata isha mashauz haoni ndani. Kudadadadeki
 
Khaaaa skujua JF kuna wataalam wa tarabu pia. Hii sredi hata isha mashauz haoni ndani. Kudadadadeki

na bado sitaki kuwasikia kabisa hawa magumegume kwanza ni magazeti tu ya kusomwa na kuchomwa moto au kufungia maandazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom