fainali uzeeni

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,163
dah, ujana ule na wengine uzee upeleke kwa mwingine.
Mihela utumbue na wengine, umaskini uniletee mie.

Inahusu? Nikome babu wee
utasugua benchi sana mwaka huu, hata hela ya dala dala huna.

Hivi baadhi ya wanamme akili walibinafsisha?
Kazi kuleta tu magonjwa

Ila fainali uzeeni
 
nini tena bi dada??
hivi hawakuji eeh!..
anataka akianza kuharisha ww ndio umfunge nepi...tehee!
 
nashangaa
ngoja nifukuzie kiserengeti sasa hivi
niende nikale bata mie
nitaenda hata bills na uzee huu

nini tena bi dada??
hivi hawakuji eeh!..
anataka akianza kuharisha ww ndio umfunge nepi...tehee!
 
Kuna mmoja nimetoka kumkimbiza sasa hivi ananiletea za kiluga kiluga na mimi mtoto wa mjini.
 
baadhi ya hawa watu
ni bora ukabadilishana jogoo
ukamla, ukazoea huna mtu
khah!

yani wifi katika siku ulizonifurahisha ni leo,bahati mimi nishawafanya big G,natafuna natema hata hawanipi tabu.,
Hela amalizie kwingine mimi kunitwika umaskini,sijui anataka tuzeeke wote?lol
 
nashangaa
ngoja nifukuzie kiserengeti sasa hivi
niende nikale bata mie
nitaenda hata bills na uzee huu

hahahaaa..bills tena...utavunja nyonga...na c unajua mfupa wa mzee ukivunjika kuunga inakua ngum...
au kama vp kaduarike hapo nyumbani lonji...wachezee wesere wachoke wakuache ukalale..
 
potelea mbali
acha nivunjwe nyonga na vijana
sio niwe kituo cha kulea wazee
aende msimbazi senta huko kwenye misaada

wanangu wameshaanza kazi
watanitibu lol
hahahaaa..bills tena...utavunja nyonga...na c unajua mfupa wa mzee ukivunjika kuunga inakua ngum...
au kama vp kaduarike hapo nyumbani lonji...wachezee wesere wachoke wakuache ukalale..
 
yaani hawa watu
wanaweza kukupeleka mirembe

nyooo, alivyokuwa na hela
akasepa home
nimesomesha watoto kwa vibarua sasa anajileta
nasema atalala kwenye banda la kuku

Kongosho, wape kashdaaaaa............! Toka lini ugali ukanyonywa ati????
 
yani wifi katika siku ulizonifurahisha ni leo,bahati mimi nishawafanya big G,natafuna natema hata hawanipi tabu.,
Hela amalizie kwingine mimi kunitwika umaskini,sijui anataka tuzeeke wote?lol

Akuuu......malapulapu tu hayo shosti, yanajaza nuksi ka nini!!
 
yaani hawa watu
wanaweza kukupeleka mirembe

nyooo, alivyokuwa na hela
akasepa home
nimesomesha watoto kwa vibarua sasa anajileta
nasema atalala kwenye banda la kuku

Haah......tena kumbe ni mkwepa majukumu?? Hafai hata kwenye kiambaza!
 
potelea mbali
acha nivunjwe nyonga na vijana
sio niwe kituo cha kulea wazee
aende msimbazi senta huko kwenye misaada

wanangu wameshaanza kazi
watanitibu lol

kama vile nakuona aise!
bwanamkubwa hapo lazima atie mkia nyuma kama mbwa mwoga...
 
hapo sasa
janaume zima linaogopa kununua sukari
achia mbali kulipa ada ya shule

eti watoto wameanza kazi
sasa hivi anataka aanze kuwapangia matumizi, nna hasira mie
acheni nipumua hapa

Haah......tena kumbe ni mkwepa majukumu?? Hafai hata kwenye kiambaza!
 
kawa mdogo kama piriton
lakini hainisaidii
mie nimesota na watoto
nimekomaa sasa hivi hata sifai lipstik tena

afu analeta ujuaji hapa!!!

kama vile nakuona aise!
bwanamkubwa hapo lazima atie mkia nyuma kama mbwa mwoga...
 
kawa mdogo kama piriton
lakini hainisaidii
mie nimesota na watoto
nimekomaa sasa hivi hata sifai lipstik tena

afu analeta ujuaji hapa!!!

pole bi dada wee.. ebu subiri nikuletee maji ya uvuguvugu unywe ushushe munkar..
 
labda heinken itasaidia aisee
vinginevyo, bora nitangulie segerea

siriaz, mtu kantoroka miaka 12
leo anarudi mikono mitupu???

Pesa zote katumbua na vimwana??
Afu niwe na moyo wa subira kweli?

hahahahahahaa...umetisha aise...heinken sio?
maji ya vuguvugu nae analeta ya nn?hayo akaogee!
LOL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom