Fainali Sasa rasmi kupigwa Kwa mkapa

Fainali Sasa rasmi kupigwa Kwa mkapa

Status
Not open for further replies.
Maviiiiiyaooooo mkojooooeaooooo

Botiii inawahusuuu pumbavuuu pakien Mbuziii mapemaaaaaa
 
😂😂😂 ujinga huu kuupata ni kubonyeza mafuta ya mwamposa tu.... Yaani hujui hata nani anapaswa kutoa barua rasm ya kiutendaji kutoka CAF. Motsepe? 😃😃

Goma lipo pale Aman complex na keshokutwa waarabu tunaingia na tende zetu haluaaaaaa😂
 
watanzania kuna haja sana ya kujifunza baadhi ya vitu vinavyoshusha heshima ya mtu. Hii tabia ya kukurupuka ku forward forward kila mtu unachokiona inashusha sana heshima hamjui tu
Zile redio za mitaani zimeshachikua taarifa hii na kuwatangazia wasikilizaji😃
 
CAF wamewakubalia Simba ombi lao na Sasa Finali itapigwa Kwa Mkapa tarehe 25 May, 2025

JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kubaini kuwa si ya Kweli. Soma hapa

View attachment 3338950
Uhalisia wa madai haya

Ufuatiliaji uliofanywa na JamiiCheck umebaini kuwa barua hiyo si ya kweli. Ufuatiliaji kwa njia ya mtandao umebainisha nakala hiyo ya barua haijachapishwa na chanzo chochote cha kuaminika ama CAF wenyewe.

Aidha klabu ya Simba ambayo ndiyo inayoonekana kuandikiwa barua hiyo haijaandika chochote wala kuchapisha barua hiyo katika kurasa zao rasmi za mitandao ya kijamii. Aidha kurasa za mitandao ya mashindano ya Total energies shirikisho na klabu bingwa barani Afrika imekanusha kuhusika na barua hiyo.
 
CAF wamewakubalia Simba ombi lao na Sasa Finali itapigwa Kwa Mkapa tarehe 25 May, 2025

JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kubaini kuwa si ya Kweli. Soma hapa

View attachment 3338950

IMG-20250519-WA0035.jpg
 
Fake news
Mechi itachezwa amani stadium zanzibar
 
Uhalisia wa madai haya

Ufuatiliaji uliofanywa na JamiiCheck umebaini kuwa barua hiyo si ya kweli. Ufuatiliaji kwa njia ya mtandao umebainisha nakala hiyo ya barua haijachapishwa na chanzo chochote cha kuaminika ama CAF wenyewe.

Aidha klabu ya Simba ambayo ndiyo inayoonekana kuandikiwa barua hiyo haijaandika chochote wala kuchapisha barua hiyo katika kurasa zao rasmi za mitandao ya kijamii. Aidha kurasa za mitandao ya mashindano ya Total energies shirikisho na klabu bingwa barani Afrika imekanusha kuhusika na barua hiyo.
Kama mnajua mmejiridhisha si muondoe hiii ama mnafurahi kuliwa bundle zetu wapendwa

Mnachojiridhisha uwongooo ondoeeni Toka post ya kwanza mpaka mwishooo fake fake nashangaa mpaka usiku huu Badoo ipo
 
Ukiwa na simu iliyosimama hizi barua inakuonyesha kabisa ni ya kutengeneza...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom