FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,212
- Thread starter
- #2,761
Kwanza napenda ufahamu kuwa Waislam walianzisha chuo kikuu cha kwanza Mzizima ambayo sasa ni Dar Es Salaam, kilianza kujengwa mwaka 1856.Ni mentality tu zao tu... walikuwa wamelala usingizi miaka ya nyuma na kuona elimu akhera ndio kila kitu... wamekuja kushtuka wanaanza kulalamika.... nadhani walikuwa wanataka somo la islamic knowledge litambulile na lipewe uwino sawa na masomo mengine... yaani wakipata A lihesabike kwenye points na liwavushe kwenda ngazi nyingine....
Nakujulisha hilo uelewe tu mchango na hamasa kubwa ya elimu waliyonayo Waislam toka enzi na enzi.
Pia napemda ufahamu elimu imesisitizwa sana katika Uislam na Waislam wana mchango mkubwa wa elimu duniani. Si sayansi si jiografia, hutokuta amma Waislam ni waanzilishi wa tuyajuwayo sasa au walibobea katika elimu tajwa.
Historia haijifichi, hata uifiche vipi kwani ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
Sitaki kuendeleza malumbano ya Ndalichako kwani tumeshayajadili sana humu JF na zipo nyuzi zake.
Hapa tuelimishane yasiojulikana na wengi.
Jionee...