Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Unakuaga mkali mkali sana kwenye mambo mengi halafu kwa kushushua wenzako hujambo.

SWALI:

Unahisi vijana wa sasa hivi wana matatizo gani kiasi kwamba unapishana nao mtazamo kwa kila kitu chao wanachojadili na kuanzisha?

Huna sababu ya kumpenda fulani wala kumchukia fulani..hilo ni moja ya jibu lako ila kwanini Hupendi kuwa straight kwenye jibu badala ya kuweka jibu lako katika hali isiyoeleweka.

Unapoulizwa kitu jibu ni YES or NO mambo ya nampenda simpendi sidhani kama ni jibu.

Kusingekua na JAMII FORUM haya mambo yanayoibuliwa,semewa,ongelewa kwa uhuru wa Bila uwoga unahisi Nchi ingekuaje?

FaizaFoxy
 
na vitabu vyetu sisi tusio na wa imani hizo vinasemaje juu ya nguruwe?

Nguruwe analeta mpaka ukhanithi (impotence). Kama unamla kajipime.

Tazama jamii zisizozaana sana duniani utakuta ni wala nguruwe.

Wanasayansi wanasema hayo. Soma hiyoo...

Published June 25, 2010 byPETA. Last Updated September 7, 2017.
Attention, shoppers: Stop picking up dead “Babes” and “Wilburs” at the grocery store! Here are our top 10 reasons to keep pork off your fork and put delicious Babe-free alternatives on your shopping list instead.
1. Porking You Up
It’s a fact—ham, sausage, and bacon strips will go right to your hips. Eating pork products, which are loaded with artery-clogging cholesterol and saturated fat, is a good way to increase your waistline and increase your chances of developing deadly diseases such as heart disease, diabetes, arthritis, osteoporosis, Alzheimer’s, asthma, and impotence. Research has shown that vegetarians are 50 percent less likely to develop heart disease, and they have 40 percent of the cancer rate of meat-eaters. Plus, meat-eaters are nine times more likely to be obese than pure vegetarians are.
Fat Overweight Men's Stomachs
2. Pigs Have Feelings Too
Ninety-seven percent of pigs in the United States today are raised in factory farms, where they will never run across sprawling pastures, bask in the sun, breathe fresh air, or do anything else that comes naturally to them. Crowded into warehouses with nothing to do and nowhere to go, they are kept on a steady diet of drugs to keep them alive and make them grow faster, but the drugs cause many of the animals to become crippled under their own bulk.
Two Pigs in Grass
3. Pigs and Playstations
Think that you can outplay a pig on your Playstation? You may be surprised. According to research, pigs are much smarter than dogs, and they even do better at video games than some primates. In fact, pigs are extremely clever animals who form complex social networks and have excellent memories. Eating a pig is like eating your dog! As actor Cameron Diaz put it after hearing that pigs have the mental capacities of a 3-year-old human: “[Eating bacon is] like eating my niece!”
Happy pig
4. Pigs Prefer Mud, Not Crud
Pigs are actually very clean animals. If they are given sufficient space, pigs are careful not to soil the areas where they sleep or eat. And forget the silly saying “sweating like a pig”—pigs can’t even sweat! That’s why they bathe in water or mud to cool off. But in factory farms, they’re forced to live in their own feces and vomit and even amid the corpses of other pigs. Conditions are so filthy that at any given time, more than one-quarter of pigs suffer from mange—think of your worst case of poison ivy, and imagine having to suffer from it for the rest of your life.
Cute Pig FreeImages.com/Janne Karin Brodin
5. Farming Family Values
Factory farms are pure hell for pigs and their babies. Mother pigs spend most of their lives in tiny “gestation” crates, which are so small that the animals are unable to turn around or even lie down comfortably. They are repeatedly impregnated until they are slaughtered. Piglets, who are taken away from their distraught mothers after just a few weeks, have their tails chopped off, their teeth are clipped off with pliers, and the males are castrated—all without painkillers.
6471.gestation_5F00_create_5F00_465.jpg
6. The Manure Is Blowing in the Wind …
A pig farm with 5,000 animals produces as much fecal waste as a city of 50,000 people. In 1995, 25 million gallons of putrid hog urine and feces spilled into a North Carolina river, immediately killing between 10 and 14 million fish. To get around water pollution limits, factory farms will frequently take the tons of urine and feces that are stored in cesspools and turn them into liquid waste that they spray into the air. This manure-filled mist is carried away by the wind and inhaled by the people who live nearby.
Sad Pig FreeImages.com/Griszka Niewiadomski
7. Bacteria-Laden Bacon and Harmful Ham
Extremely crowded conditions, poor ventilation, and filth in factory farms cause such rampant disease in pigs that 70 percent of them have pneumonia by the time they’re sent to the slaughterhouse. In order to keep pigs alive in conditions that would otherwise kill them and to promote unnaturally fast growth, the industry keeps pigs on a steady diet of the antibiotics that we depend on to treat human illnesses. This overuse of antibiotics has led to the development of “superbacteria,” or antibiotic-resistant bacterial strains. The ham, bacon, and sausage that you’re eating may make the drugs that your doctor prescribes the next time you get sick completely ineffective.
pig killed for food
8. Hell on Wheels
More than 170,000 pigs die in transport each year, and more than 420,000 are crippled by the time they arrive at the slaughterhouse. Transport trucks, which carry pigs hundreds of miles through all weather extremes with no food or water, regularly flip over, throwing injured and dying animals onto the road. These terrified and injured animals are rarely offered veterinary care, and most languish in pain for hours; some even bleed to death on the side of the road. After an accident in April 2005, Smithfield spokesperson Jerry Hostetter told one reporter, “I hate to admit it, but it happens all the time.”
3666.Pig_5F00_Transport_5F00_465.jpg

9. Killing Them Without Kindness
A typical slaughterhouse kills up to 1,100 pigs every hour, which makes it impossible for them to be given humane, painless deaths. The U.S. Department of Agriculture documented 14 humane slaughter violations at one processing plant, where inspectors found hogs who “were walking and squealing after being stunned [with a stun gun] as many as four times.” Because of improper stunning methods and extremely fast line speeds, many pigs are still alive when they are dumped into scalding-hot hair-removal tanks—they literally drown in scalding-hot water.
5383.two-pigs.jpg
10. Ditch the Bacon and Get Fakin’
Save pigs from hell and yourself from bad health by feasting on faux pork products instead. Stuff a sandwich full of Yves brand veggie ham slices, or throw some Lightlife Smart Bacon into a sizzling skillet—the freezer and “health food” sections of your local grocery or health food stores are packed full of these and other tasty substitutes.
pig_5F00_Yahya-Idiz.jpg
Think before you eat another sausage

Chanzo: https://www.peta.org/living/food/top-10-reasons-eat-pigs
 
Unakuaga mkali mkali sana kwenye mambo mengi halafu kwa kushushua wenzako hujambo.

SWALI:

Unahisi vijana wa sasa hivi wana matatizo gani kiasi kwamba unapishana nao mtazamo kwa kila kitu chao wanachojadili na kuanzisha?

Huna sababu ya kumpenda fulani wala kumchukia fulani..hilo ni moja ya jibu lako ila kwanini Hupendi kuwa straight kwenye jibu badala ya kuweka jibu lako katika hali isiyoeleweka.

Unapoulizwa kitu jibu ni YES or NO mambo ya nampenda simpendi sidhani kama ni jibu.

Kusingekua na JAMII FORUM haya mambo yanayoibuliwa,semewa,ongelewa kwa uhuru wa Bila uwoga unahisi Nchi ingekuaje?

FaizaFoxy
Ungeweka mifano ya swali / maswali niliyoulizwa na majibu niliyotoa ningeona kama yapo hivyo usemavyo, ingesaidia sana kukupa jibu. Sina ushahidi wa tuhuma zako.
 
UMEOLEWA? JE BABA JESKA ALIKUKUMBUKA KWENYE TEUZI ZAKE?
KAMA UMEOLEWA HUYO MUMEO NI MTU WA AINA GANI ANAYEKURUHUSU MKE WAKE KUSHINDA JF KUBISHANA NA WANAUME?
 
FaizaFoxy ni kweli waislamu hawali kitimoto kwa sababu alifukua kaburi la mtume? na kuula mkono wake? na je ni kweli Mtume alioa binti wa miaka tisa? kama ni kweli hii imekaaje kwa ndugu zetu waislamu?
 
FaizaFoxy ni kweli waislamu hawali kitimoto kwa sababu alifukua kaburi la mtume? na kuula mkono wake? na je ni kweli Mtume alioa binti wa miaka tisa? kama ni kweli hii imekaaje kwa ndugu zetu waislamu?

Maswali yako mazuri sana. La kwanza si kweli.

La pili. Ningeshangaa sana kama swali hili lisingeulizwa.

Lina ukweli fulani lakini hujaliuliza vyema.

Umejifunza wapi hayo yote?
 
Kwa kuwa wewe ni mbobezi katika sector ya Telecommunication/Telco, una maoni gani kuhusu yafuatayo:
1. Quality ya service inayotolewa na mobile operators Tanzania

2. Suala zima la Eavesdropping linalofanywa kwa usiri na serikali mbalimbali duniani
 
Hivi kweli kwa fikra zako, waziri wa elimu kazi yake ni ku-mark mitihani? Mpaka mseme waislamu mnafelishwa?! Na je, ktk wizara ya Elimu hamna waislam? Hivi kwanini waislamu huisi kuonewa katika kila jambo?!
Ni mentality tu zao tu... walikuwa wamelala usingizi miaka ya nyuma na kuona elimu akhera ndio kila kitu... wamekuja kushtuka wanaanza kulalamika.... nadhani walikuwa wanataka somo la islamic knowledge litambulile na lipewe uwino sawa na masomo mengine... yaani wakipata A lihesabike kwenye points na liwavushe kwenda ngazi nyingine....
 
Kwa kuwa wewe ni mbobezi katika sector ya Telecommunication/Telco, una maoni gani kuhusu yafuatayo:
1. Quality ya service inayotolewa na mobile operators Tanzania

2. Suala zima la Eavesdropping linalofanywa kwa usiri na serikali mbalimbali duniani
1. "Quality ya service" inayotolewa ipo kwa viwango vya chini ukilinganisha na nchi zingine zilizoendelea kwa uwiano wa "aspects" zote za "service". Kuna "room" kubwa ya ku "improve". Ingawa tunajitahidi sana.

Kwa hayo nnamaanisha kuwa kuna "some aspects" tuna "meet" na ku "exceed standards" na kuna "aspects" tupo chini sana.

Huo ni mtazamo wangu binafsi na hauhusishi tafiti zozote za kina.

2. What is eavesdropping?

Eavesdropping is the unauthorized real-time interception of a private communication, such as a phone call, instant message, videoconference or fax transmission. The term eavesdrop derives from the practice of actually standing under the eaves of a house, listening to conversations inside.

Kwa ufupi, udukuzi ni jinai. Nchi zingine hata serikali ikitaka kudikua ni mpaka ipate amri ya mahakama kabla ya kufanya hivyo.

Nakumbuka utawala wa wa Rais Nixon wa USA ulidondoshwa kwa hiyo "eaves dropping", ingawa Wamarekani wanaiita "bugging", kadhia hiyi ilijulikana kama "watergate scandal".

Kwa ufupi, kosa linaloweza kudondosha utawala ni kosa kubwa.

Soma zaidi kuhusu watergate scandal...

 
Naija ni kifupisho cha Nigeria sasa hiyo Niger imetoka wapi?
Sikushangai kwani nafahamu ni kiwango tu cha shule uliyosoma.

Leo umebahatika kwa kufaidika na darsa la FF.

Elewa kuwa kuna nchi inaitwa Niger. Bofya link uisome👇🏾👇🏾

 
Hiki kiswahili kinanipa tabu mtu kafariki magomeni badala ya Kusema kafariki magomeni mtu unasema kafariki dunia kwani magomeni ndio dunia?
Neno kufariki linatokana na neno "faraka".

"Fariki dunia" linamaanisha kufarakana (kuachana au kutengana na dunia).

Farakana = achana / tengana
Fariki = achana au tengana mwili na nafsi.
 
Back
Top Bottom