Nauza Mashine ya kuprint T-Shirt pamoja na printer ya Epson

malimi katoro

JF-Expert Member
Mar 31, 2015
358
153
Wakuu habari za leo,

Nauza mashine ya kuprint T-Shirt (heat press mashine) kwa bei ya shilingi 1,700,000/=. Ni 8 in 1, inaprint T-shirt, vikombe, kofia, sahani, majagi, nk.

Mashine hii inafanya kazi pamoja na printer ya Epson(L805) kwa kutumia wino wa sublimation na karatasi za sublimation ambayo naiuza Sh 800,000, ambapo kwa bei hiyo nitakupatia sublimation papers bunda 4 mpya, na wino mil 100, kopo sita, na mashine ikiwa na wino full tank. Wewe ni kuanza kazi tu.

Hivyo kwa pamoja ni sh 2,500,000/=.

Napatikana Mwanza, niko jirani kabisa na mikoa ya Simiyu na Mara.

Picha hizi hapa
IMG_20221105_104829_252.jpg
IMG_20221105_104833_775.jpg
 
Wakuu habari za leo,

Nauza mashine ya kuprint T-Shirt (heat press mashine) kwa bei ya shilingi 1,700,000/=. Ni 8 in 1, inaprint T-shirt, vikombe, kofia, sahani, majagi, nk.

Mashine hii inafanya kazi pamoja na printer ya Epson(L805) kwa kutumia wino wa sublimation na karatasi za sublimation ambayo naiuza Sh 800,000, ambapo kwa bei hiyo nitakupatia sublimation papers bunda 4 mpya, na wino mil 100, kopo sita, na mashine ikiwa na wino full tank. Wewe ni kuanza kazi tu.

Hivyo kwa pamoja ni sh 2,500,000/=.

Napatikana Mwanza, niko jirani kabisa na mikoa ya Simiyu na Mara.

Picha hizi hapaView attachment 2407781View attachment 2407782
Sasa hao wateja wako watakupata kupitia njia gani! Maana hata mawasiliano yako tu hujaweka.
 
Usiuze hicho kiwanda,biashara sio lelemama potezea ushauri wa motivation speaker
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom