thewailers
Member
- Jan 30, 2023
- 13
- 9
Wadau habari za muda huu? nahitaji kujua mashine nzuri ya kuprint t-shirt, mtengenezaji, bei yake na pia kwa Dar nitapatia wapi? Asante
$80,000 mashine ya kuprint t shirt atairudisha hipo pesa lini?Kuna jamaa yangu ana ofisi kariakoo, nilienda kufanya kazi moja hivi, ile machine yake ni really heavy duty. Aliniambia kaiagiza tola Japan kwa $80,000. Ile machine inafanya kila aina ya printing (sina ujuzi na hizi kazi) ila alinihakikishia hivyo.
Aaah mzee nimeelezea machine ya kuprint kila kitu, nadhani hadi t-shirt inafanya. Zinazoprint t-shirt hazifanyi kazi kama banners? Ili nifute comment yangu chap😁$80,000 mashine ya kuprint t shirt atairudisha hipo pesa lini?
Tatizo hatunaga washauri katika uwekezaji
Wewe huna kosa.Aaah mzee nimeelezea machine ya kuprint kila kitu, nadhani hadi t-shirt inafanya. Zinazoprint t-shirt hazifanyi kazi kama banners? Ili nifute comment yangu chap😁
😂😂😂usiolijua bhana...unajua vizuri tender za branding mkuu?? Au unazungumza kisa umeona hio dola 80,000 ni nyingi kwako?? Watu wanasecure branding deals on retainer na wanalamba hadi +20Mil na zaidi kulingana na package na hapo ni client mmoja tu.Wewe huna kosa.
Kosa ni huo uwekezaji hawezi kurudisha pesa hiyo kamwe.
Mashine itaanza kuhitaji service kubwa kabla hajarudisha hizo 184,000,000/-
Kwa bei hiyo atakuwa na uhakika 2025 wa kuprint t shirt za chama cha kijani nchi nzimaKuna jamaa yangu ana ofisi kariakoo, nilienda kufanya kazi moja hivi, ile machine yake ni really heavy duty. Aliniambia kaiagiza tola Japan kwa $80,000. Ile machine inafanya kila aina ya printing (sina ujuzi na hizi kazi) ila alinihakikishia hivyo.
Kwamba $80,000 ni nyingi kwangu?😂😂😂usiolijua bhana...unajua vizuri tender za branding mkuu?? Au unazungumza kisa umeona hio dola 80,000 ni nyingi kwako?? Watu wanasecure branding deals on retainer na wanalamba hadi +20Mil na zaidi kulingana na package na hapo ni client mmoja tu.
Ni sawa na kiasi Gani kwa pesa ya kitanzania?Kuna jamaa yangu ana ofisi kariakoo, nilienda kufanya kazi moja hivi, ile machine yake ni really heavy duty. Aliniambia kaiagiza tola Japan kwa $80,000. Ile machine inafanya kila aina ya printing (sina ujuzi na hizi kazi) ila alinihakikishia hivyo.
184,000,000Ni sawa na kiasi Gani kwa pesa ya kitanzania?
Labda umeongeza sifuri alimaanisha $8, 000 hyo pesa ndefu ili uweze kurudisha na kupata faida sio mchezo kwanza unatakiwa tayar uwe unafahamika pia uwe una matangazo sana hasa kwenye mainstream media out of that brother ur going to dieKuna jamaa yangu ana ofisi kariakoo, nilienda kufanya kazi moja hivi, ile machine yake ni really heavy duty. Aliniambia kaiagiza tola Japan kwa $80,000. Ile machine inafanya kila aina ya printing (sina ujuzi na hizi kazi) ila alinihakikishia hivyo.
Mashine aina hizi huwa zina options nyingi kidogo - zinaprint t-shirts, posters, kadi za mialiko/harusi na pia mpaka vikombe (mugs) na sahani za mapambo.$80,000 mashine ya kuprint t shirt atairudisha hipo pesa lini?
Tatizo hatunaga washauri katika uwekezaji
Kakaaa inaonekana mawazo yako ni ni ya bukubuku. Unashangaa 184m?Wewe huna kosa.
Kosa ni huo uwekezaji hawezi kurudisha pesa hiyo kamwe.
Mashine itaanza kuhitaji service kubwa kabla hajarudisha hizo 184,000,000/-
Daah nchi hii watu wanajua kujitoa ufahamu sana, ningefurahi kama ungesema wewe mwenuewe umewekeza zaidi ya hiyo kumbe unaongelea wanaume wengine?Kakaaa inaonekana mawazo yako ni ni ya bukubuku. Unashangaa 184m?
Shoper kanunua eneo la kuijenga shopers yake kwa 700m. Hilo ni eneo tu.
Mkuu watu wanaweka pesa ili wapate pesa
Mkuu samahani hv unafahamu bei ya kuprint t-shirt Moja ni kiasi gani na pia ukumbuke Kila week Kuna design mpya ya t-shirt zinaprintiwa k.koo na kusambazwa nchi nzima mm nauza t-shirt naelewaDaah nchi hii watu wanajua kujitoa ufahamu sana, ningefurahi kama ungesema wewe mwenuewe umewekeza zaidi ya hiyo kumbe unaongelea wanaume wengine?
Kwa taarifa yako akili yako haijaelewa nilichomaanisha, sio wingi wa pesa bali aina ya biashara
Nchi hii hata chizi huwaita wazima ni machizi hivyo siwezi kukushangaa saaana
Alikupiga changa la macho huyo jamaa yako au hukusikia kwa uzuri, nadhani ni $ 8,000/- siyo ulizoandika.Aaah mzee nimeelezea machine ya kuprint kila kitu, nadhani hadi t-shirt inafanya. Zinazoprint t-shirt hazifanyi kazi kama banners? Ili nifute comment yangu chap😁
Sawa mzima. Kutoka kwa chiziDaah nchi hii watu wanajua kujitoa ufahamu sana, ningefurahi kama ungesema wewe mwenuewe umewekeza zaidi ya hiyo kumbe unaongelea wanaume wengine?
Kwa taarifa yako akili yako haijaelewa nilichomaanisha, sio wingi wa pesa bali aina ya biashara
Nchi hii hata chizi huwaita wazima ni machizi hivyo siwezi kukushangaa saaana
Naomba mawasiliano yake nataka anchapie logo kwenye t-shirt na kofiaKuna jamaa yangu ana ofisi kariakoo, nilienda kufanya kazi moja hivi, ile machine yake ni really heavy duty. Aliniambia kaiagiza tola Japan kwa $80,000. Ile machine inafanya kila aina ya printing (sina ujuzi na hizi kazi) ila alinihakikishia hivyo.
Nitafute whatsapp nikuagizie kutoka Dubai zenye bei reasonable +971527794329Wadau habari za muda huu? nahitaji kujua mashine nzuri ya kuprint t-shirt, mtengenezaji, bei yake na pia kwa Dar nitapatia wapi? Asante