Inategemea aina ya mgomba, rutuba na hali ya hewa. kwa wastani ni kuanzia miezi 10 mpaka 15. pia migomba inazaa maoetea au vitoto ambavyo unaweza kuvipunguza na kupanda sehemu zingine au kuwauzia wengineHongera sana mkuu.
Huo ushauri wako nimeuelewa.
Vipi ukipanda migomba unaanza kuvuna ndizi baada ya muda gani?
Usipande ukaucha kama mti pori. Hakikisha mbolea ipo ya kutosha hasa samadi, zingatia pia uchimbaji wa mashimo wakati wa kupanda na pia usafi kuzunguka mgomba kuulimia na kumwagia maji kipindi cha kiangaziHongera ardhi yako ina rutuba. Kwangu migomba ipo shina moja lakini mkungu ulioko pale ni mdogo kama nanasi.
Hongera ardhi yako ina rutuba. Kwangu migomba ipo shina moja lakini mkungu ulioko pale ni mdogo kama nanasi.
😂😂😂😂 "Mdogo kama nanasi" mgomba haujilei mkuu unahitaji matunzo.Hongera ardhi yako ina rutuba. Kwangu migomba ipo shina moja lakini mkungu ulioko pale ni mdogo kama nanasi.
Jitahidi kutia samadi/mboji, kwangu nilikuwa na shida hiyo ila kwa sasa naona tabasamu kwa mbali lanijiaHongera ardhi yako ina rutuba. Kwangu migomba ipo shina moja lakini mkungu ulioko pale ni mdogo kama nanasi.
Hakika nakubaliana na wewe tutumie ardhi iliyotuzunguka vyema.Mimi ni shahidi mahali ninapoishi ninaeneo mwaka 2018 niliamua kupanda migomba...jamani nimekula ndizi mpaka raha.kiangazi ya dsm na jua lote mimi kwangu kwenye friji kuna ndizi za kila aina.halafu nilipanda Kama masihara tuNawasalimu kwa jina la jamhuri
Mwaka jana mwezi wa kwanza nilipanda migomba kama 30 katikaeneo la nyumbani napoishi. Kabla ya kupanda niliwauliza wataalamu hasa watu wanaotokea maeneo ambayo wanalima sana ndizi kama Moshi, Bukoba na Tukuyu kujua aina za ndizi na matumizi yake na namna ya kupanda. Baada ya kupata maelekezo ya kitaalamu nikapanda aina zifuatazo za ndizi.
1. Mzuzu hii niliambiwa inafaa sana kukaangwa au kuchomwa
2. Bukoba hii kwa kupikwa
3. Mshale hii kwa supu
4. Malindi hii inafaa kuliwa ikiwa mbivu
5. Kisukari vile vidogo hivi navyo vinafaa kuliwa vikiwa vimeiva
6. Matoke hizi kwa kupikwa
Faida nayoipata kwa sasa;
1. Mazingira ya kuzunguka nyumba yangu yanavutia maana ni green tupu pamoja na kua tumeanza kiangazi
2. Nina chakula cha kutosha imenilazimu kununua fridge ya ziada ili ndizi zingine nizi freez humo maana zimenizia
3. Kipato changu (thamani ya shilingi kwangu imeimarika maana nimepunguza kwa kiasi kikubwa kutoa pesa nje kwa ajili ya kununua mahitaji )
4. Ninatoa sadaka hasa kwa wale ambao wanashida ya chakula angalau ninawapa ndizi kidogo kama sadaka na napata baraka kutoka kwa Mungu
NB
Kwa wale ambao tuna maeneo makubwa tumejenga basi tupande angalau migomba itatusaidia kuliko kujaza pavement na ukoka kwenye nyumba.
Kwa wale wanaotegemea kununua maeneo ya kujenga nawashauri mtoke kidogo nje ya mji mpate maeneo ambayo yatawawezesha kulima kidogo na kufuga.
Raha sana mkuu kuna kipindi unakua umefulia hatari unapitia buchani unachukua nyama ya utumbo kg moja tu buku 4 ukifika home mnakula delicious food kama matajiriHakika nakubaliana na wewe tutumie ardhi iliyotuzunguka vyema.Mimi ni shahidi mahali ninapoishi ninaeneo mwaka 2018 niliamua kupanda migomba...jamani nimekula ndizi mpaka raha.kiangazi ya dsm na jua lote mimi kwangu kwenye friji kuna ndizi za kila aina.halafu nilipanda Kama masihara tu
Chimba shimo refu km futi mbili na weka samadi then mgomba. Utashangaa.Hongera ardhi yako ina rutuba. Kwangu migomba ipo shina moja lakini mkungu ulioko pale ni mdogo kama nanasi.
Wewe jamaaa umenifanya nicheke pekeangu...Hongera ardhi yako ina rutuba. Kwangu migomba ipo shina moja lakini mkungu ulioko pale ni mdogo kama nanasi.
kuna wakati hua nakaa hata masaa mawili naangalia tu green iliyopo hasa wakati wa kiangazi. Nyumba hata kama ya kawaida inapendeza sana ikizungukwa na miti pamojana maua kuliko kujaza pavement maana zikifubaa panaonekana kama garageHongera sana, mimi pia kupitia JF kuna jamaa alianzisha uzi wa jinsi ya kupanda matunda nyumbani, niliutumia ule ujuzi...
Its five years now matunda hayakauki home, matunda kama..papai, ndizi aina zote, machungwa, miwa, mboga za majani, na nadhani next year tutaanza kula embe...
Halafu kumbe nyumba ikiwa ina greenish inapendeza na kufutia sana...
Unaweza kaa siku nzima unashangaa maua, majani, na miti ya matunda!
Ahsante kwa Jf...ilinipa idea nzuri.
Upo sehemu gani? maana sidhani kama aina hizi zote za migomba zinaweza kustawi sehemu zote TanzaniaNawasalimu kwa jina la jamhuri