Angalao wanakuwa hawajafa.Wadau,kunamfugaji wa kukuhapa dar ananiambia kila mzunguko wakuku 1000, anapata faida ya Tsh Laki 7. Hapo soko likiwa zuri sana. Jamani hicho kpato ukiangalia mtaji WA Banda nk,,..Je kunanjia yakuongeza fida kwa kupubguza Gharama
🤣🤣🤣Kupunguza gharama ni kuwabania msosi na hapo lazima wadumae hapo ndio utapata faida ya elfu 50 tuu.
Utapeli mwingine wa kitoto sana na bado watu walitoa pesa.Afu Kuna yule mr. Kuku alikua anasema umpe laki 7 akufugie bure, akuvunie bure na akuuzie sokoni Kisha akupatie laki kila mwezi na ukitaka kuchukua laki 7 yako mvunje mkataba anakupatia bila kujali zile lakilaki alizokua anakupatia kila mwezi
Dah! Kiongozi mbona umekatisha tamaa sana wafugaji wa kuku wa kienyeji. Ni kweli completely hawana faida kiasi hicho? Au inategemea na umafugia wapi? Yaani shambani au mjini? Ninachojua mimi ni kuwa huwezi pata faida ya kuku wa kienyeji ukiwafugia mabandani halafu mjini tena. Hapo lazima lazima utukane matusi ya kila aina sababu ya cost ya chakula na time frame kuanzia vifaranga mpaka kuuza. Lakini ukiwafugia shamba trust me kuku wa kienyeji wanalipa sanaKuku wa kienyeji its a failed business ...hakuna business model utakayoisuka ya kuku wa kienyeji na ikalipa.
Actually kuku wa kienyeji ni biashara kichaa
Hio unaipata kwa muda gani ? Pia kama unaongelea kienyeji kwamba huwalishi wanajitafutia chakula hilo eneo la kuwaachia kuku elfu moja unalipata wapi... Nadhani unachoongelea ni vigumu kuwa realistic..., Ukizingatia Broilers conversion yao ya chakula to weight ni maradufu ya kienyeji..Bas hawana faida mbona bora ufuge wa kienyeji yaan kuku buku faida laki saba hapo ingekuwa kuku wa kienyej ukipiga kwa hasara 10000×1000=na milion kumi hapo kwa hasara kwakwel ufugaji wa broila ni upumbavu kbs aah kumbe mnaongelea na mayai ok ok bas mi mpumbavu kabisa kuku wa broila wana faida sina msimamo biashara kichaa hizi bora ufuge nguruwe
sio kweli sema huna mbinu,, ukitaka wa kulipe nakupa mbinuKuku wa kienyeji its a failed business ...hakuna business model utakayoisuka ya kuku wa kienyeji na ikalipa.
Actually kuku wa kienyeji ni biashara kichaa
Nazan shida soko ila sio ufugaj mi nakufugia hao mpaka wanafika elfu6Hio unaipata kwa muda gani ? Pia kama unaongelea kienyeji kwamba huwalishi wanajitafutia chakula hilo eneo la kuwaachia kuku elfu moja unalipata wapi... Nadhani unachoongelea ni vigumu kuwa realistic..., Ukizingatia Broilers conversion yao ya chakula to weight ni maradufu ya kienyeji..
Na watu wanaosema kwamba hio pesa ni nzuri sababu unachofanya ni kuongeza idadi inabidi tuwaulize utaongeza idadi to infinity ? Sababu unaweza kweli ukawa una uwezo wa kuuza kuku 1000 lakini wakiwa elfu 5 ukakosa soko... Soko lingekuwa guarantee basi hakuna biashara nzuri kama karanga za kukaanga zile za mia mia sababu shilingi inazaa shilingi au better still zile mbichi unaweka kwenye mifuko unauza mia...
Una eneo kubwa kiasi gani ? Je unawalisha au unawaachia ? Na je wa kienyeji wako wanachukua muda gani mpaka kuwauza (sababu kama mwenzako anachukua miezi miwili na wewe miezi sita) by the time wewe umefuga hao elfu sita mwenzako alishaondoa elfu 18....nazan shida soko ila sio ufugaj mi nakufugia hao mpaka wanafika elfu6