Tuo Tuo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 504
- 874
Salute!
Kwa wafugaji wa kuku wa nyama Dar soko ni rahisi sana tofauti na mikoani ambapo mtu hulazimika kuuza reja reja hadi kuku watapoisha.
Kwa Dar una option mbili:
1. Reja reja ambapo bei huwa 7000-7500.
2. Kuuza kwene chama cha kuku hapa utauza kwa 6000.
Faida ya kuuza kwenye chama wanachukua kuku wote hata kama unao 300. Hivyo huwezi pata hasara.
Swali je, kwa Mwanza Soko la kuku broiler limekaaje? kuna vyama vya kuku ambacho unaweza uza jumla?
Mi nimgeni, nipeni maelekezo.