Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,228
- 618
Naomba tushare kwa pamoja, tujifunze faida 5 za mke kutembea nje ya ndoa.
1.Atakuletea stail mpya.
2.Mapenzi yataongezeka ili kukuzuga.
3.Gharama na matumizi kama
saluni mitoko vocha zitapungua.
4.Mkeo hatakuwa na stress wala
hatakupa stress.
5.Hatakusumbua kwa hawara zako wala
kukuuliza maswali unapochelewa kurudi.
NB; Mruhusu mkeo awe na mpenzi nje ndoa yenu itadumu michepuko oyeeee,njia kuu tuyaachie Maroli au siyo!
1.Atakuletea stail mpya.
2.Mapenzi yataongezeka ili kukuzuga.
3.Gharama na matumizi kama
saluni mitoko vocha zitapungua.
4.Mkeo hatakuwa na stress wala
hatakupa stress.
5.Hatakusumbua kwa hawara zako wala
kukuuliza maswali unapochelewa kurudi.
NB; Mruhusu mkeo awe na mpenzi nje ndoa yenu itadumu michepuko oyeeee,njia kuu tuyaachie Maroli au siyo!