Faida 5 za mke kutembea nje ya ndoa

Faida 5 za mke kutembea nje ya ndoa

Haya basi mruhusu Mkeo au gal friend wako akapigwe nje upate hizo faida.
 
Malaya usiyekuwa na leseni weee toka hapa.
 
Mara nyingi Mzani wa Faida mwenzie hasara kwa hiyo fanya editting kwa kuweka na hasara .
Ikiwa 50 vs 50 au Faida over 50 kuliko hasara siyo mbaya.
 
Aisee... kumbe mi nina akili.... Asante MUNGU
kuna wajinga duniani... nazidi kuamini
 
Hiyo ya namba 2 sio kweli mara nyingi inaapply kwa wanaume wale wasiotaka kuwapoteza wake zao. Mara nyingi waket wanaotoka nje ya ndoa zao hunogewa na kujisahau so hapo tegemea dharau zaidi ya mapenzi.

Nakuunga mkono .... maana mie inanitokea live .... japo napotezea
 
Mapengo 17

Hiv nikuweke kwenye kundi gani kati ya haya?
A. Faster learner
B. Middle learner
C. Durable learner
D. Low thinking capacity [ ]
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom