Faida 5 za mke kutembea nje ya ndoa

Faida 5 za mke kutembea nje ya ndoa

Kwa nini uoe au uolewa alafu bado uwe unapiga shoo za nje, ni ujinga na ushamba. Kama unaona bado, fanya mambo yako umalize kwanza, ukiingia umeingia na kuacha yote. Michepuko siyo dili.
 
Sijui shule hawa Form V wanapangiwa lini thread za kijinga kama hii ipungue??
 
Tuipime hii thread na dhamira ya mletaji. Ukiiangalia kwa jicho moja unaweza kufikiri mleta mada ni mpuuzi anayechochea uovu. Ukitumia jicho la tatu utapats funzo kuwa mabadiliko ya tabia kwa mkeo inawezekana ikawa ishara ya kuanza kwa uovu wa mkeo.

Tuijadili katika mtazamo huo tutapata faida nyingi. Nakumbuka nikiwa undergraduate, lecturer mmoja alisema tatizo kubwa la vijana darasani hushindwa kufaulu vizuri kwa kukosa mbinu za kuelewa swali na kushindwa kujua key words zilizobeba swali.

Vijana wanachanganya haya, discuss-jadili, hapa unatoa hoja kwa pande zote mbili , faida na hasara na kutoa msimamo wako. Explain, elaborate n.k, huwezi kutoa jibu sawa kati yao.

Dhamira yangu kwa mfano mke amepunguza wivu na mahaba, hiyo ni indicator kuwa kuna kitu kinaendelea.

Mtoa mada labda unishawishi kuwa umetumia tafsida, lakini neno faida huwezi kulielezea kwa mtindo huo. Ninawashukuru wanajamvi.
 
Mapengo 17

Wee dume au jike???
Nitaua, mke si wa kushea!
Jogoo mwenyewe hataki kushea ila mtetea mwenzake akiwa anapandwa yee poa tu!
 
Last edited by a moderator:
Ingekuwa vyema kama ungeweka na hasara zake, na kuonyesha upande upi una madhara zaidi. Huu ni mtazamo wa mume aliyeshindwa majukumu yake ya msingi.
 
Tulivyo wabongo, waweza kushawishi watu wengi tu kwa hizo hoja! Utahukumiwa kwa kuchagia uvurugaji wa ndoa na maambukizi ya ukimwi.
 
Mapengo 17

kama mamako ndio alikufundisha hayo basi inawezekana huyo unayemwita baba wala si babako. kamwulize vizuri akuonyeshe baba na ndugu zako aisee.
 
Last edited by a moderator:
Si maroli tu yanyo takiwa kubaki njia kuu, hata vigari vidogo vinatakiwa kubakia njia kuu, kuchepuka ni hatari waweza pata ajali ambayo yaweza gharimu maisha yako!!!!!
 
Wee dume au jike???
Nitaua, mke si wa kushea!
Jogoo mwenyewe hataki kushea ila mtetea mwenzake akiwa anapandwa yee poa tu!

Dear but mume ni wa kushea sio ? Aaaaaaahhhhhaaaaa yaani ama kweli Jf is stress free aaaaaahhhhaaaaaa..... Thanks..
 
I didn't know if some men are really love their wives though. Aaaahaaaa ... yaaani I think Hii thread made some men angry .. poleni kaka zangu mweeeh ... basi tuache Ku cheat muwathamini wake zenu ... Thanks..
 
Ase sheria ya mtandao inakulinda.
Vinginevyo ningetoa tu lugha chaf
 
Back
Top Bottom