Faida 5 za mke kutembea nje ya ndoa

Faida 5 za mke kutembea nje ya ndoa

Sikio likwasha unaweza kulikuna kwa kidole chochote na cha cha mtu wowote sio lazima kidolee kiimoja tu kila likwasha.ahahahah
 
1.;Huo ukimwi unaletwa kwenye familia anapochepuka mwanamke tu.!
2. Siiungi mkono hoja ila kuna kama kitu kulazimisha iwe kama kuchepuka kwa sisi wanaume ni kawaida lakini kwa wanawake ni kituko.!
3. Hivi wanawake hawana hisia.?

Maumivu ya kugundua unachepukiwa ni yale yale so sishangai kuona mume mchepuko na yeye vyake vyaliwa.matokeo ndoa inadumu maana kila mtu anapo pa kujipoozea.! Tena ukiwaona wana act kama wanapendana sanaaaaaa mpaka raha.!
 
Hizi faida zinaingia akilini lakini hazikai ubongo umezireject.
 
I didn't know if some men are really love their wives though. Aaaahaaaa ... yaaani I think Hii thread made some men angry .. poleni kaka zangu mweeeh ... basi tuache Ku cheat muwathamini wake zenu ... Thanks..

all of what so called benefit is directed to unfaithful men, kwa mwaminifu ni janga..
 
Back
Top Bottom