Faida 23 za bangi ambazo labda haujajua

Faida 23 za bangi ambazo labda haujajua

Nikuonee aibu kwa lipi? Yaani wewe ukivuta bangi lazima uchizike ,[emoji23][emoji23]
Kama siku ile kariakoo hata kula ulikua unaona aibu😆😆! Juzi nikakutana ghafla na msafara wa chadema...niliona mwili umeacha hisia..nilitoa mwili nje mikono hewani...piga honi za kufa mtu..yaan walinishangaa wakasema khaa hata wamama wanampenda lisu..nikaona kupooza kiu niunge msafara kbs...fanya kashkashi balaa😆😆! Dah kweli ntachizi asbh sana
 
Hivi kweli unaamini nakuonea aibu? Mimi nione aibu kwenye kula??? 🙄, Yaani hata niwe na mwanaume ananitongoza kwenye kula sijivungi,nakula na kunywa hadi ashangae. Hujanijua vzr wewe hebu subiri siku utanijua 🤣🤣🤣.
Njoo nyumbani (CCM) kumenoga best...huko uliko utapata stress na hasira kila siku miaka na miaka. Hawana uelekeo hao.
Nasubiri tusi...usinifokee tu
 
Na sio lazima uivute, unaweza hata kuiweka kwenye vitu kama keki na ukapata manufaa, huwa nashangaa sana watu ambao hawatumii bangi wanavyojiona wamepatia maisha kumbe wanapitwa na mambo mazuri yenye faida nyingi.

Bangi ni kilevi kama vileo vingine, hivyo ni haram kutumia.
 
Huwa najuliza watu wanaovuta bangi 90% ya nilio waona wapo creative sana.mfano wachoraji, waimbaji, uchongaji,!! wanakakitu ka ziada hawa jamaa😀 huwa hawana ubwege bwege
 
Kwan akil si ni sehemu ya mwili
Kuna aina mbili ya afya yako ambayo inaleta utimilifu kwa mwanaadamu ambazo ni Akili na mwili wenyewe yaan Mental health na Physical Health' Hizi mbili husaidiana ktk kuishi kwa mwanaadamu. Sasa kama maumivu yako ni hisia kuumizwa hapo bangi haitoweza kusaidia akili kupona hilo tatizo ila unapopata maumivu ya mwili au pain kwa mwili wako yaan Physical au magonjwa mfano Pumu hapo bangi inaweza kutumika kama Pain killer kwa kupunguza maumivu na hata kumaliza tatizo kulingana na ukubwa wa tatizo lenyewe'
 
Back
Top Bottom