Faida 23 za bangi ambazo labda haujajua

Faida 23 za bangi ambazo labda haujajua

Kwangu ni tofauti. Usingizi kibao nikijiendekeza naweza lala siku nzima
Hlf nikiwa mbali na home siikumbuki kabisa..maisha yanakuwa kawaida tu.
Mkuu,kwa utafiti wangu binafsi niliowah kuufanya ni kwamba mapusha wengi wa DSM huwa wanachanganya bangi na vitu vingine,tena nahisi ni vitu vibaya kabisa.
 
Kwahyo tuvute lakin kwa kiasi
Ya kulalia
JPEG_20200820_222832_398517397143978828.jpg
 
Nilipanga kustaafu mwaka huu mwishoni ila nimeghairi labda miaka ijayo.
bange nibangue
 
Back
Top Bottom