Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,825
- 95,676
[emoji23][emoji23][emoji23] , nahisi mwanangu kapona pia ..two years now haijamshika.Mie nimeshapona aise vuteni tu[emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23] , nahisi mwanangu kapona pia ..two years now haijamshika.Mie nimeshapona aise vuteni tu[emoji38][emoji38]
Inawezekana imepoa tu..Ile bwana..hakifai..mkinge tu na mazingira hatarishi..[emoji23][emoji23][emoji23] , nahisi mwanangu kapona pia ..two years now haijamshika.
Ni kweli. Bado anajikingaInawezekana imepoa tu..Ile bwana..hakifai..mkinge tu na mazingira hatarishi..
Kwahyo we unaitumia mkuuNa sio lazima uivute, unaweza hata kuiweka kwenye vitu kama keki na ukapata manufaa, huwa nashangaa sana watu ambao hawatumii bangi wanavyojiona wamepatia maisha kumbe wanapitwa na mambo mazuri yenye faida nyingi.
Haha huo utafiti wako naupinga hapa Tanzania watu wenye heshima zao na maarufu ndio wanatumia bangi kwa ASILIMIA kubwaBangi inaoneonekana kilevi cha hovyo. Kutokana na asilimia kubwa ya wavutaji hapa Tz kuwa , mateja
Endelea ujikinge na magonjwa mengineMie nimeshapona aise vuteni tu😆😆
Yaah na sio lazima uvute kama sigara waweza jifukizia
Ni bangi kama bangi unayoijua ina faida tele kwenye mwili wako anza Leo utakuja kunishukuruBangi inayotuliza maumivu ni hii hii ninayoijua mie au ni aina ya dawa iliyochanganywa na bangi?
Almost 5 yrs now, ila haijawahi niponyesha maumivuNi bangi kama bangi unayoijua ina faida tele kwenye mwili wako anza Leo utakuja kunishukuru
Unaitumiaje labdaAlmost 5 yrs now, ila haijawahi niponyesha maumivu
Mchomvu anatumia bangi?Eyooo mchomvuuuuu.
Wape mitama wanaaa[emoji5][emoji5][emoji5]
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Bangi inaoneonekana kilevi cha hovyo. Kutokana na asilimia kubwa ya wavutaji hapa Tz kuwa , mateja
Kabisa maana mateja ni warahobu wa cocaine na heroine na sio bangi.huwezi kuta mvutaji wa bangi nae anapelekwa soba ili afanyiwe cancelingTeja sio mvuta bangi, ni mtumiaji wa Cocaine na Heroin. Ukienda mikoa kama Arusha Meru na Mara ambao ndio vinara kwa matumizi huwezi kukuta mateja mitaani kama Walioko Dar (Big Bon Kariakoo, Manzese na Manyanya)
Cjawah ona rasta anaenda hospital kiukweli.na madaktar inatakiwa waje wathibitishe hiliSwali la kujiuliza rahisi ni umewahi kuona RASTA kwenye foleni za hospital au kalazwa?
Kwa watumiaji wa bangi mnaowafahamu wasio changanya na vile vingine umewahi kusikia wanaumwa na magonjwa ya ovyo ovyo?
Bangi ikiruhusiwa viwanda vya kutengeneza madawa vitakosa soko
Asilimia kubwa ya dawa za kutuliza maumivu zinatokana na mmea wa bangi pia kuzuia saratani kwa asilimia fulani endapo tu utatumia kwa maelekezo kutoka kwa daktari anaejua
😀😀😀Siwez smoke mimi aiseEndelea ujikinge na magonjwa mengine