Faida 23 za bangi ambazo labda haujajua

Faida 23 za bangi ambazo labda haujajua

[QUOTE="Muigai Jr, post: 36411885, member: 59820amani,kuu Bangi ni Amani....wanaoipakazia mabaya wana zao hila tuu.
[/QUOTE]
Thankx mkuu kwa kulijua hilo kuwa bangi inaleta amani,matibabu na kumfanya MTU afikilie positive na kumjua mungu kuliko wasio vuta
 
Nina miaka kumi natumia hii kitu,ni kilevi safi sana situmii pombe wala sigara,baada ya kazi naendaga sehemu nashtua kimoja kwa raha zangu.Magonjwa ya ajabu ajabu huwa sina.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] haijawahi kukusumbua kifua?
 
wewe unakula au unavuta?mie kete moja baada ya kazi niko shwali kabisa.Kitu kingine bange hunifanya kuchelewa kufika kileleni wife huwaga anajua.
Uko sawa mkuu ukipga hyo kileleni ni kama dakika 45kwa round ya lwanza
 
Unaweza leta ushahidi wa kulaaniwa kwa bangi ? Hata vitabu vya dini vimeonya matumizi ya pombe na sio bangi..na pia kumbuka mungu alimpa mwanadamu wa kutumia miti na matunda yote kama dawa.but bangi binafsi ninavyoijua ukivuta unakuja na ufikir na utambuzi wa vitu kwa hali ya juu

Angalia neno bangi imeelekezwa zaidi kwenye Nini...! Jibu unalo...!
 
Hebu nisaidie..nahis mtu nayemsema mm we unamfahamu..anaweza tokaje kwa Hali hii!? Maana ukimshauri anacheka balaa...anajiona km huelewi kitu
Bange haiachwi! Iko kama ngono ukiwa huna mwanamke au mwanaume wa kufanya naye unaweza kukaa hata miaka mitatu bila shida ila siku ukimpata utafanya.

Jambo ni dogo addiction inatibiwa na addiction mtafutie addiction nyingine achana na ngonjera hizo ataacha ila usikae ukaamini hata siku moja akiipata au kuiona hatoivuta.
Kitakacho ondoka ni self demand tu.
 
inasaidia nin nikifanya hivyo
Bangi huweza kutibu magonjwa ya utumbo (Inflammatory bowel diseases). Mwaka 2010 katika chuo cha Nottingham, tafiti ziligundua kuwa kemikali zilizopo kwenye bangi husaidiana na seli za mwilini kuongeza kinga za mwili na ufanisi wa utumbo.

Kupunguza maumivu ya viungo. Bangi hupunguza maumivu, hupunguza miwasho na kuleta usingizi.

Huboresha ngozi na kuchangamsha kazi za mwilini, Pia huongeza matumizi ya sukari mwilini.

Huongeza uwezo wa kubuni vitu(creativity), uwezo wa kukumbuka na uwezo wa kuzungumza.

Huweza kusaidia watu wanaopata matatizo ya mfadhaiko kutokana na kumbukumbu za mambo ya kutisha (post traumatic stress disorder) Mfano, Kwa wahanga wa majanga ya asili na yale yasio ya asili kama vita, moto, tsunami nk. Watu hao hupata kuona upya matukio ya kutisha walioshuhudia zamani na huweza pia kuyaona katika ndoto. Bangi huweza kuwasaidia kuepuka tatizo hilo. Maveterani wa vita ni mfano mzuri kabisa.
 
Hata watu waseme nini,ila mazuri ya huo mmea ni mengi kuliko mabaya yake.....mabaya yake yanaenezwa na propaganda za kisiasa na kidini kwa ajili ya faida za kibepari.
Hizi ni faida chache tu ambazo wavutaji mtaniunga mkono kwa hilo

Kupunguza maumivu ya viungo. Bangi hupunguza maumivu, hupunguza miwasho na kuleta usingizi.

Huboresha ngozi na kuchangamsha kazi za mwilini, Pia huongeza matumizi ya sukari mwilini.

Huongeza uwezo wa kubuni vitu(creativity), uwezo wa kukumbuka na uwezo wa kuzungumza

Huweza kusaidia watu wanaopata matatizo ya mfadhaiko kutokana na kumbukumbu za mambo ya kutisha (post traumatic stress disorder) Mfano, Kwa wahanga wa majanga ya asili na yale yasio ya asili kama vita, moto, tsunami nk. Watu hao hupata kuona upya matukio ya kutisha walioshuhudia zamani na huweza pia kuyaona katika ndoto. Bangi huweza kuwasaidia kuepuka tatizo hilo. Maveterani wa vita ni mfano mzuri kabisa.
 
Mara yangu ya 3 kuvuta bangi nilikua nikitembea naona miti inanifata, nikinyata na yenyewe inanyata, nikisimamama na yenyewe inasimama, nilikimbilia ndani nikahisi mtu kashika nyumba kama kibox cha kiberiti alaf akaanza kutikisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] damu yako na genes haziluendana na bangi huna budi kuiacha
 
Back
Top Bottom