Sio rahisi unless ni rafiki yako wa karibu au ndugu ndo utajua anatumia. Huwezi jua kama anajionesha huyo ni mlimbukeni na muigizaji au labda uwende maeneo ambayo watu hao wapo kwenye chemba zao kama mahotelini, pubs kubwa kubwa, beach au sehemu za recreation au sehemu ziliotulia zenye maandhari nzuri etc huko utawakuta watu wakivuta bangi.
Na kwann hata kama una familia yako upo vizuri na una kazi sehem Nzuri Ila ukitumia bangi unaonekana ni MTU wa ajabu?