waterproof
JF-Expert Member
- Aug 14, 2020
- 388
- 352
- Thread starter
- #101
Kwani teja ni MTU wa aina gani?
Asante doctorTumia kwa nafas yako sio kwa wingi
Teja ni mraibu wa kituKwani teja ni MTU wa aina gani?
Inategemea na maumivu gani' hapa sana ni mwili unaongelewa na sio afya ya akili nadhan.Almost 5 yrs now, ila haijawahi niponyesha maumivu
Tabia huanzia unapo zaliwa na makuziUtakapo vuta bangi ukiwa patwa na tatizo au wenge basi jua tu kwamba hayo matatizo ulikuwa nayo yamejificha ila bangi ndo umeyaweka wazi. Kuna wanywa pombe ambao wakinywa hawazingua wa nakuwa wametulia kawaida na kuna wale wakisha kunywa kama mpo meza moja lazma mjipange kubandle outcomes na ndo ivo kwa bangi ila kwa asilimia kubwa like 70% mvuta bangi akishafanya yake hataki usumbufu wa vurugu. Kama ni kibaka ni kibaka tu by default lakini chanzo si bangi
Kwan akil si ni sehemu ya mwiliInategemea na maumivu gani' hapa sana ni mwili unaongelewa na sio afya ya akili nadhan.
Ukitumia bangi kwa siku Mara mbili je unakua mrahibu?Teja ni mraibu wa kitu
Wingi unaanzia ngapUkitumia bangi kwa siku Mara mbili je unakua mrahibu?
Hilo jibu sahihi mkuu maana akili IPO kwenye sehemu ya mwil piaKwan akil si ni sehemu ya mwili
Tushangae wote mkuu..afu ukimuona Sasa..humdhanii...mpoleee ana iabu..shenzy zakeHata ww mtoto wa kike unavuta bangi??
Ndo mana inatakiwa tuvumilianeHilo jibu sahihi mkuu maana akili IPO kwenye sehemu ya mwil pia
Hilo sio la kushangaa mbabaTushangae wote mkuu..afu ukimuona Sasa..humdhanii...mpoleee ana iabu..shenzy zake
Tumbo la mp so uende kwa gyno?Tumbo la period
Ukitumia kwa kiasi kibubwa sana ndo unaweza kupata madhara hayo...ikiwemo kucheka sana....ila km una kipimo sahihi ni kitu ambacho kina faida nyingi saana.Kuna mtu anavuta kuongea alone ndo zake..amepata na halucination..mh sijui
Tabia huanzia unapo zaliwa na makuzi
Kwahyo tuvute lakin kwa kiasiUkitumia kwa kiasi kibubwa sana ndo unaweza kupata madhara hayo...ikiwemo kucheka sana....ila km una kipimo sahihi ni kitu ambacho kina faida nyingi saana.
Na kwann hata kama una familia yako upo vizuri na una kazi sehem Nzuri Ila ukitumia bangi unaonekana ni MTU wa ajabu?Exactly by default and by nature
Mimi binafsi mtu anayetumia bang namuonaga Kama Boda tu...bang haina ustaarabu..ilishalaaniwa na kudharauriwa toka enzi hizo..ndo maana Kuna misemo ya ajabu kuhusu bangi...kwakweli wavuta bang huwa hamjifichi ..sijui kwanini...mnakuwa mpo moo tu!..utaonekanaje wa maana sasaNa kwann hata kama una familia yako upo vizuri na una kazi sehem Nzuri Ila ukitumia bangi unaonekana ni MTU wa ajabu?
Mkuu Bangi ni Amani....wanaoipakazia mabaya wana zao hila tuu.Kwahyo tuvute lakin kwa kiasi
Unaweza leta ushahidi wa kulaaniwa kwa bangi ? Hata vitabu vya dini vimeonya matumizi ya pombe na sio bangi..na pia kumbuka mungu alimpa mwanadamu wa kutumia miti na matunda yote kama dawa.but bangi binafsi ninavyoijua ukivuta unakuja na ufikir na utambuzi wa vitu kwa hali ya juuMimi binafsi mtu anayetumia bang namuonaga Kama Boda tu...bang haina ustaarabu..ilishalaaniwa na kudharauriwa toka enzi hizo..ndo maana Kuna misemo ya ajabu kuhusu bangi...kwakweli wavuta bang huwa hamjifichi ..sijui kwanini...mnakuwa mpo moo tu!..utaonekanaje wa maana sasa