Faida 23 za bangi ambazo labda haujajua

Faida 23 za bangi ambazo labda haujajua

Bangi inayotuliza maumivu ni hii hii ninayoijua mie au ni aina ya dawa iliyochanganywa na bangi?
Bangi inayotuliza maumivu siyo hii, yenyewe inaitwa "medical marijuana".
Bangi inayotumika kwa matumizi ya kuvuta ipo high in THC (Tetrahydocannabinol) na low in CBD (Cannabidiol). Mbegu ya Medical Marijuana ina high CBD, ambayo ni chemical ambayo hutumika kwa matibabu, na mara nyingi hiyo medical inakuwa imepunguzwa THC na watalaam ili kuweza kupambana na defects za mwili. Kuna documentary niliangalia, wataalamu wanajua kupima kabisa asilimia za THC na CBD, ambapo ikiwa na high THC haifai kwa matibabu. Na wakadai weed ikiwa na high CBD, haina stimu so mgonjwa anaweza kuvuta, au ku vape.
 
Asante mkuu kwa elimu nzuri
 
Kwahyo hlo tamasha lilikua linaitwa mabangi day sio
 
Bob Marley alikufa kwa kansa, Bob Marley alikuwa mvuta bangi, bangi inatibu kansa......
Nitarejea...
 
Labda umeelewa vibaya hyo uzi sio kwamba bangi inatibu Kansas mkuu Ila inauwezekano mkubwa wa kupunguza na sio kutibu elewa hapo
 
🤓🤓🤓
20200821_230651.jpg
 
Back
Top Bottom