Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,369
Huwezi kutumia bange kwa kiasi HAIWEZEKANI.Kama bangi huleta ukichaa America, Canada, Amsterdam wasingeruhusu wanachi wao watumie
Tatizo ni kutumia kwa kiasi na kujua kutumia kwa wakati gani hapo ndio wengi hawajui hence huchangia kuleta matatizo mengine.
Issue ni una uwezo wa kupata nyingi au una unga unga, nitajitolea mfano mimi kwa siku nilikuwa navuta hadi pis 6.
Asubuhi na jioni na uwezo wa kuipata nitakavyo ulikuwepo.