Muigai Jr
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 2,334
- 4,281
[emoji23][emoji23]100%[emoji851][emoji851][emoji851]View attachment 1544339
[emoji23][emoji23]100%[emoji851][emoji851][emoji851]View attachment 1544339
Hebu iandikie thread niisomeUmeisoma vizuri history ya Kifo cha Bob?
Chanzo cha Maradhi mpaka kifo?
Ilimuingiaje cancer mtumiaji mzuri wa dawa?Labda umeelewa vibaya hyo uzi sio kwamba bangi inatibu Kansas mkuu Ila inauwezekano mkubwa wa kupunguza na sio kutibu elewa hapo
waterproof nasikitika mno hujasema pia kuwa Bange / Bangi inasaidia sana Kutibu Pumu ( Asthma ) na pia ni Kinga 'Tukuka' tu dhidi ya Wachawi.
kibongo bongo tunavuta tu.labda upande mwenyewe ndo utatambuaAcha kuvuta kama hujui hata strain unayovuta.
kumbe mara nao wapoBangi Nzuri ni ya Arusha na Mara pekee
unapiga dry au mixerYa kulaliaView attachment 1543420
Dah Wangari maadhai yani iyo picha yako kwenye avatar naweza kukupiga mabusu ya hatarii violently and aggressively kutoka shingoni kuelekea mgongoni hadi chini ya kiuno katikati kwenye mlima mfereji mlimaKonyo kweli...
unaitumiaje katika kutibu asthma?waterproof nasikitika mno hujasema pia kuwa Bange / Bangi inasaidia sana Kutibu Pumu ( Asthma ) na pia ni Kinga 'Tukuka' tu dhidi ya Wachawi.
shukran mzee ngoja nikitafute hicho kitabuNeno cannabis linatokana na neno la kiyahudi kana bosm...linahusiana na neno canvas...nguo iliyotengenezwa na bangi(hemp)...yasemekana bangi ni mmea wa kwanza kabisa kutumika na binadamu. Reference Book: The Emperor wears no clothes by Jack Herer
umetumia kwa muda gani?Upo sahihi mkuu,mimi tokea nimeanza kutumia bangi kiukweli akili angu umekua kubwa na yenye ufikiri wa kina,kufikiri jambo kabla na baada na kuwa na uwezo wa kujenga hoja nzito na kuzitetea mpaka MTU anapenda
Pia ukiitumia bangi huwezi kusema uongo na Maelezo yako yote yatakua kweli
mzee naona umepanda mmea kwenye dp hapoNeno cannabis linatokana na neno la kiyahudi kana bosm...linahusiana na neno canvas...nguo iliyotengenezwa na bangi(hemp)...yasemekana bangi ni mmea wa kwanza kabisa kutumika na binadamu. Reference Book: The Emperor wears no clothes by Jack Herer