Fahari wawili hawakai zizi moja

Fahari wawili hawakai zizi moja

Kuachwa kuachwa,kuachwa wakti ambao hujatarajia ni kubaya lazima tu uwe chizi uliyependeza na unakuwa na kauli za sungura,sizitaki mbichi hizi.....
 
kasindeeee, mie umenikumbusha mwalimu wangu wa physics form two Mr Mkichwe baaasi.
 
You have read me wrong, na hujamjua Kasie bado. Am not seeking any sympathy or comfort, i just explain what happend and thats how I am. NIKO IVO...
Bt m naona kama unajihakiki tu bt we ndo imekuuma mpaka kuandika hapa....kiukweli imekuuma ila unajifariji kwa maneno na kutafuta suport ya watu umu wakufariji kwa yalokutokea
 
You have read me wrong, na hujamjua Kasie bado. Am not seeking any sympathy or comfort, i just explain what happend and thats how I am. NIKO IVO...

Not true....unaonekana mzuri wa maneno tu bt not action....watu wa vtendo hawana maneno meng kuj-prove!!bt haya mawazo yangu may be upo kaunadai,may be....
 
Habari ya mchana MMU,

Its a true story, it happens to me, Kasie mie.... anyways iko hivii............
Wakati nasoma sekondari, o-level, moja ya maomo niliyokuwa nasoma ni physics na chemistry, na kwqa wakqati ule wa mwinyi ukiwa unasoma hayo masomo tuition inahusika ili kuyakazia mkazo masomo ukimbie C,D na F kwenye mitihani, tuition ya physics nilikuwa nafanya kwa mwalimu Mkichwe jumamosi. Sasa pale tuition tukawa tunakutana vijana kibao wa shule mbali mbali wasichana kwa wavulana kila mtu akitaka kupata elimu akapasue shuleni kwao.

Tuition, haikuwa tuition tuu na kijiwe cha umbea pia, hv na vile na hv viliongelewa kila jumamosi watu tukikutana.
Sasa kuna kijana mmoja alikuwa anasoma shaban robert, yaani hapo tuition tulikuwa tunamuita wa mnato coz alikuwa anajiskia na hakuwa na story sana na watu, mostof time he was alone alone. Maisha yakaenda yakarudi kila mtu alisambaraika kivyake, huku na huku bana, nikakutana na huyu jamaa kwenye harsi moja hivi tukashangaana nini na nini kila mtu akishangaa mwenzie amebadilika, kosa lililofanyika kwenye hiyo harusi kila mtu alikuja mwenyewe mwenyewe tukajikuta tumekaa meza moja tumestorisha mziki tukacheza pamoja na baada ya harusi kuisha tukakubaliana kwenda club tuongee na kucheza, na ilikuwa hivyo.

Baada hapo kila mtu alirudi kwake na tukaanza kuwasiliana through wasap na phone calls, it was a date, we ended up kissing but we didnt reach the intercourse. Na nashukuru mungu kwa hilo, kumbe alikuwa mambo ya mnato na kujiskia hajaacha, hakujua Kasinde nae ni kiburi mwisho wa reli, mhehe haoni ndani. Siku moja akaniambia naomba tukutane lunch nikatoka akaniambia amepata kazi nchi za uarabuni so anaondoka soonest coz document zilichelewa kumfikia na akatakiwa kuondoka immediately. Hapo ndo tulipo kiss na siku anaondoka sikwenda airport kumsindikiza was a bit tight na ilikuwa muda wa kazi. Kumbe jamaa ali mind why sikuenda msindikiza, mie sikuona sissue was busy na nilimwambia nikajua kanielewa kumbe kaweka rohoni.

Kufika Dubai kijana mnato tukaendelea na mawasiliano ila yakawa yanalega sasa mie nikawa naendeleza converation siku moja nikaamua kumlia cobis, yeye ana text dry nami natext dry huwezi amini, ndo vimeishi hivyoo till todate hatujawasiliana tena hadi leo, nikajisemea moyoni...................., UKINIONA WA NINI NAMI NAKUONA WA KAZI GANI..................IVO
Yeye fahari anataka kubembelezwa, kakutana na fahari Kasie popo, mkesha club usiku, mla ujana, aliyeshindikana na familia ndo kabisaaa habari ya kubembeleza haipo kwangu. Nimekumbuka tuu leo habari yake, wakati huo anaenda Dubai was year 2012....
IVO, 100!!

Regards,

Kasie.


Sheria za Wazazi kwa wadada


Binti akiwa na miaka 13 anaambiwa “usicheze na wavulana ni mashetani wakubwa, na ole wako tukukute na wavulana tutakufukuza ukoo. Miaka 20.. “kwa kweli sisi hatumpendi Yule mvulana unaefuatana nae”.
Miaka 25 “vipi mama? Kimya, hujatuletea mwenzio yeyote kututambulisha”
Miaka 28 “wewe vepi wenzio wote wana waume zao wameolewa” Miaka 30 “ tumeshakuonyaacha kuchagua wanaume we vipi?”
Miaka 33 “ kuna mzee mmoja tumesikia anaweza kuondoa nuksi twende tukupeleke” Miaka 38 “kuna mchungaji wanasema ukifunga wiki tu unafunguliwa kupata bwana”
Miaka 40 “hata huyo sawa tu, tufariji wazee wako tuone japo kajukuu.
 
Mwinyi, hivi nikiwaambia napigana na uzee kula ujana hamnielewi eeh. Mie wa longi sana, waliosoma tuition kwa mkichwe wanaweza kadiria umri wangu, but siufichi niko btw 35 na 40

Kasinde kwani O-level ulisoma msimu wa Mwinyi au Mkapa?
 
Last edited by a moderator:
hahahaha hata mie naona hivyo aissee jamani!!!
Alijuaje kuwa kaeka rohoni suala lile?? Je alimtamkia??
Yeye ndo imemuuma bhana asiwe anafikiria lililo ndani ya moyo wa mwenzie!!

We unataka kuuza kahawa tuukijiweni kwa ubishiili muda usonge. Hapa streling kwenye simulizi iliyotokea kiukweli ni Kasie, na msimuliaji ndo mimi Kasie. Take my words, hutaki rudisha chenji ya rada rudi kijijini kwenu, full stop, thats an order!!
 
Mwinyi, hivi nikiwaambia napigana na uzee kula ujana hamnielewi eeh. Mie wa longi sana, waliosoma tuition kwa mkichwe wanaweza kadiria umri wangu, but siufichi niko btw 35 na 40
Hapo sawa, we haupo mbali kumbe. Mwaka wa mwisho wa Mwinyi ndo wengine tunaanza o-level. Kula ujana kabla mvi hazijaota sista..!
 
Yeah JF ni shule pia, but maana niliyoikusudia aa nkwwatu wasiokubali kujishusha hawawezi wakaiva hata au kukaa pamoja. Sawa na hesabu ya physics kwenye sumaku + na + au - na - hazikai pamoja, ila + na - moto unapita au taa inawaka. Sijui umenisoma, shule hiyo ongeza ujuzi tuu haina mwisho.

Umeniongezea uelewa mwingine .... Nilijua fahari huwa ni jinsi moja (same sex) kumbe wanaweza kuwa tofauti!?
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Umeona maisha hayaendi bila unafiki...watu hawataki hata kuwa wakweli kwa hisia zao na nafsi zao....kila mtu anataka onekana ye ndo alimpotezea mwenzie...ye ndo imemuuma hapo

Wait a minute, r u the guy of the story!?? Mbona macho yamekutoka pima kuusemea moyo wa kijana mnato aliye Dubai? If its u, pole Kasie is no longer available, very busy kusuka hela na kula ujana.

THOMAS...!! kwa mwandawazimu kaingiaje, oooh kitorondoo.... imekula kwako, kama si wewe mpelekee salamu.
 
He should stay tuned not me,Kasie mla ujana, crush lady, full kujiachia club. Akija atakuta manyoya mie haniwezi tena.

story itaendelea akirudi toka DUBAI...stay tuned
 
Back
Top Bottom