Fahamu umuhimu wa kuhonga katika mahusiano ya mapenzi

Fahamu umuhimu wa kuhonga katika mahusiano ya mapenzi

Waambie kwa kweli hua hawapendi kujiongeza,na sisi wengine kuomba ndo mtihani mkubwa kwetu,wao wanazan kwa kua hatujui kuomba bas hatupendi pesa,tunapendaa tena mno,muwe mnatuhonga jama

Weeee ukihongwa unavyokuwa kabby sasa ,kasweet,so romantic . Mda mwingine hadi sijielewagi napatwaga nin kichwani
 
Weeee ukihongwa unavyokuwa kabby sasa ,kasweet,so romantic . Mda mwingine hadi sijielewagi napatwaga nin kichwani
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aiseee upo sahihi nakuunga mkono yan hata kama nina kazi najua huyu baby ananihonga lazim nifanye mbinu niendee hata kama ameniita wapi na nauli siombi maana najua muda wowote anasomeka
 
[QUOTata miDaby, post: 25978221, member: 255586"]kwanini ukubali kuuza utu wako kwa mtu.

Akikuita tu uende kisa umehongwa.
Anakufanya ucheue.
Umheshimu kisa amekuhonga.


BTW, sie wengi tunawapa zawadi mnatafsiri tumewahonga.[/QUOTE]
Mkuu ata mm sielewi kwann watu wameamua kuuza miutu yao.nahuku wanamikono yao miguu yao mizima ya kusaka doh.......mi huo usengeri sifanyagi wa kuabudu kiumbe mwenzangu,kuuza cjui.actually nayaona kwa walimwengu
 
Weeee ukihongwa unavyokuwa kabby sasa ,kasweet,so romantic . Mda mwingine hadi sijielewagi napatwaga nin kichwani
Haha tena ile ya kuhongwa bila kuomba ndo huaga tamu,yan mi najionaga likichwa limekua kuubwa kama boga la kiangazi
 
Back
Top Bottom