Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,448
- 25,833
Ndio, usije baadae ukanigeukia ukaja na uzi humu kunisema [emoji1][emoji1][emoji1]Ndiyo inayo kutisha
Ndio, usije baadae ukanigeukia ukaja na uzi humu kunisema [emoji1][emoji1][emoji1]Ndiyo inayo kutisha
I see you too brother [emoji2]I see you miller.
mjingamimi [emoji1][emoji1][emoji1]duh kumbe.
nimetoka kumfanyia muamala baby mama.
nimetumia I love u si za nchi hii.
Ila kuna wanawake wanajua kupet pet.yaani una mtumia muamala huku una tabasamu.
Wewe unahongaa?Kwahiyo hapo hauwez kulia tena ulizan nimewakandamiz wanaume tu
Ndioo wanahonga lakini akija huku anaanzisha uzi wa kulalamika wanawake tunapenda pesaa
Haya leo nimewapa somooo
mke wangu namhonga mie ngoja leo nikamuulize akijibu kama wewe basi jua umemnajisi mwanamke mwenzio....Ndio umemuhongaa ndo maana yupo na ww mpaka saiv
[emoji23] [emoji23] [emoji23] siwezi labda tu uwe na kibamiaNdio, usije baadae ukanigeukia ukaja na uzi humu kunisema [emoji1][emoji1][emoji1]
unafikiri bro.?.mjingamimi [emoji1][emoji1][emoji1]
Sio kwa dunia ya saivii ndugu
Ooohooo![emoji125][emoji125][emoji125][emoji134][emoji134][emoji134][emoji23] [emoji23] [emoji23] siwezi labda tu uwe na kibamia
Naanzaje kumuuliza Gudume ss we Demiss![emoji20][emoji20]Vibaya sana muulize Gudume
hahaha nipatie mmoja wa hivyo aiseee na mm nijionjee msisimko na CocaCola [emoji1][emoji1][emoji1]unafikiri bro.?.
mtoto ana kupa heshima zote na thamani yako anaiona.anakunyenyekea.
yaani ww mwenyewe hata kabla hajakuomba unampa na huku unatabasamu.tena unaona ni ndogo.
WeweeeeNdo wale wanakuja kuanzisha uzi humu oooooh sipendw o demu namtongoza mda mrefu simuelew ooooh mke sijui kawaje ....wanashindwa kujiongeza
Jinsia gani demiss [emoji23] [emoji1] [emoji119]Habari wanajamiforum?
Leo nimeamua kuleta somo linalohusu umuhimu wa kuhonga ktk mapenzi.
Watu wengi hawaelewi umuhimu wa kuhonga kwenye mapenzi na kuanza kufikiria mambo mabaya naomba niwasilishe kama ifuatavyo:
1. KUHONGA HUBORESHA MAPENZI:
Fahamu kuwa unapomhonga mpenzi wako unamfanya ajihisi kama ni wapekee kwako, atajiona kama ni mmoja wapo kati ya watu wenye thamani kwako na huamini kama kweli upo karibu yake na unamjali.
Hali hii humfanya yeye kushindwa kutolipa mazuri kwako.
Wengi kabla ya kuomba papuchi hutanguliza hongo kwanza, si lazima iwe pesa hata hongo ya sifa za uongo na ukweli.
Kwa kuhonga kwako inamlazimu na yeye kulipa fadhila kwa kuonesha upendo wa dhati na utamfanya azidishe mapenzi kwako.
2. KUHONGA KUNAJENGA SANA KUMBUKUMBU KATIKA MAPENZI:
Fahamu kuwa unapomhonga mpenzi wako inakusaidia wewe kujijenga katika mawazo yake na endapo kama itatokea mkaachana nae basi pindi mpenzi wako atakapokuwa anaziona zawadi zako zitamfanya akukumbuke kwa mengi na atahisi kama kuachana na wewe kwake kuna tofauti na atajihisi kupoteza vingi toka kwako na kamwe kumbukumbu yako kwake haitofutika kila anapoona vitu ulivyomhonga.
Jitahidi sana unapohonga usihonge pesa tu, honga vitu vya kudumu maana huwa asset yako ya baadaye, pindi unapotokea mkwaruzano baina yenu.
Pesa huwa ni hongo inayovutia kwa muda mfupi na husaidia kupata kile unachokitaka kwa muda mfupi, ila jua atazitumia zitaisha utakuwa hujajenga misingi imara ya mapenzi.
Simaanishi kuwa usimpe mpenzi wako hela, hapana ila inabidi ufahamu kuwa pesa hutumika katika kukidhi mahitaji na sio katika kuboresha mapenzi.
Nyongeza:
Aisee jifunzeni kuhonga mpunguze stress za mapenzi.
Demiss (Cha mdeko )
Weweeee