Fahamu namna ya kuperuzi JamiiForums BURE

Fahamu namna ya kuperuzi JamiiForums BURE

Eti jk tuna uzoefu wa kushinda hivi kila mwaka mambo no yaleyale goli la mkono walilozoea kwa sasa ni big noooooooooooo. Kura za maoni zimeendeshwa kirushwarushwa tuu hivi wsnamshambulia lowasa subiri kampeni zianze muone cccm itakavyovuliwa nguo
 
Nimejiandaa Vizuri Kwa Ajili Ya Uchaguzi Ujao Yani Niko Tayar Kwa Heli Ama Kwa Shal
 
Sema watavuana nguo ccm na lowasa nyie chadema kaeni mbali mmeyataka mwenyewe kumchukua mtu wa ccm atavuliwa nguo kweupe
 
Atavuliwa tukiwa usingizini au kura zetu tutazilinda hadi kieleweke kampeni Tushamali
 
Sawa bt na wewe una uhakika gani kama hakuiba? Au nawe unachukulia kuwa watanzani ni wajinga au hzo tuhuma anazohusishwa kabambikiziwa na kwann alijiuzulu? Mkuu unachokifanya wewe ni kutaka kuchukua muda mrefu kusafisha kaniki wakat unajua rangi yake tubadilike-sasa
 
Last edited by a moderator:
Sawa bt na wewe una uhakika gani kama hakuiba? Au nawe unachukulia kuwa watanzani ni wajinga au hzo tuhuma anazohusishwa kabambikiziwa na kwann alijiuzulu? Mkuu unachokifanya wewe ni kutaka kuchukua muda mrefu kusafisha kaniki wakat unajua rangi yake tubadilike-sasa
Mwizi hupelekwa kwenye vyombo vya sheria.kama yeye aliiba kwa nini CCM na serikali yake haikumfikisha huko?tuache uzezeta.
 
Last edited by a moderator:
Vingozi wengi nanajali mahitaji yao binafsi
 
Aminikuwa baada ya uongozi wake wizi ulikoma ?he sakata LA escrow alihusishwa pia Leo tibaijuka no msafi au la
 
Nchi haijijengi Bali wstu wenyewe.mi nadhani tufanye mabadiliko ya kweli.tuitoe. ccm madarakani
 
We unayeuliza kwanini alijiuzuru ni vizuri ukajiuliza kwanini kahama ccm.
 
Magufuli ni Rais wetu kuanzia Oct 2015 hadi Oct 225 sawa Jamani, hakuna kupinga ...CCM MBELE KWA MBELE ... wataisoma namba mwaka huu Chadema!!! ...kwanza UKAWA. sio chama, chama tunachokitambua kesheria ni Chadema tu! Hakuna UKAWA hapa. Hivi nyie mnaojiita UKAWA mwadanganyika nanyi mnakibali tu!!!! Lowasa kaiba ela kaenda Kununu Chadema.. na bado mtashindwa tu... CCM no: 1
 
Back
Top Bottom