Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,418
- 82,410
Hawa jamaa siku hizi wamevurugwa.
Mimi nilimtaja kwa jina la utani mwanasiasa mmoja hivi, kwa hasira ndio wakaunganisha majembe yangu.
Hahahaaa,aisee yule jamaa atawafanya wengi waione JF chungu.Bahati yako wenzio wanapigwa ban kabisa.
Mimi ndio maana sipendi kuchangia chochote siasani,bado naipenda JF!