Jaman, kuna hii app inayomilikiwa na facebook inaitwa internet.org inadaiwa unaweza surf kwnye fb na jamii forum bure mbna mim sivo kama inavodaiwa? Kama cjajiunga na vifurush bas cwez surf!
Natumia mtandao wa tgo ila laini ni mpya ina kama wik 4, aina ya cm ni tecno h5, android 4.2.2