mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,276
- 12,336
Tunafanyaje sasa sisi wa kuliwa tumeachana na uctumie wa karibu tunapambana kuufikia.Unataka kupanda kitu usichokifahamu vizuri, yani hata soko hujui.Fanya utafiti wa soko.Mikoa mingi sana wanamipango ya kupanda korosho ikiwemo Dom,Mbeya na Kigoma. Kutokana na kanuni ya Demand and Supply sidhani kama hill zao litakuwa natija hasa kwa mfumo waa kutegemea wahindi. Kama haktakuwa na viwanda vya kuchakata korosho hazitakuwa dili labda watz wenyewe waanze Ku export.
Fanya market survey and projection ya ten years mbele.Andaa your business proposal iwapo wanunuzi hawatakuwepo utauzaje bidhaa yako.Heka 2000 zinatosha Ku export kwa mjasiliamali mdogo.Panda hizo korosho ila usitegemee wahindi wanunue kwa 100% .Jenga uwezo binafsi qa kuuza bila kumtegemea MTU au serikali.UWazo lako ni zuri ila fikiria zaidi ta kupanda.tunafanyaje sasa sisi wa kuliwa tumeachana na uctumie wa karibu tunapambana kuufikia
masaa 24 adi 72 tu inatosha kukuonyesha mbegu mzima na mbovu, ukitaka pia unaeza kuziacha adi siku 4 adi 5 kwenye maji ili zisichelewe kuota ukienda kupanda.kununua mbegu unachukua maji na chumvi 100g ya chumvi unaweka katika maji kiasi cha lita 5 unakoroga vizuri na unachukua mbegu zako unaweka kwenye maji hayo zile zitakazo zama ndio mbegu zenye uwezekano mkubwa wa kiota.
NAOMBA UFAFANUZI ZAIDI unaloweka kwa muda gani kwenye maji ya chumvi kabla ya kupanda mbegu?
Wang Shu
Huenda imezeeka punguza mikorosho mizee na panda mbegu mpya.Nina mikorosho km 30 shamba langu la urithi, mavuno madogo nifanye nini nipate mihela mingi.
Naomba unisaidie ulipipata mbegu, nahitaji kuanza hichi kilimo tafadhaliMREJESHO WA THREAD HII KUHUSU KOROSHO.
Napenda kuwashirikisha japo kwa uchache hatua niliyofikia baada ya kuandaa shamba la ekari 25. Hapa chini nimeweka picha za mikorosho niliyopanda japo changamoto ni nyingi sana na ukiwa muoga unaweza kuachia ngazi. Nilichojifunza: Fika mwenyewe shambani, epuka kuwaamini watu kwa kufanya kilimo cha simu
LUMUMBA
.View attachment 1293371View attachment 1293373View attachment 1293376
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanauza je huko mapori?Wakuu Salaam,
Napenda kuwashirikisha kwenye fursa hii ya korosho tena, Nilihamasika na kufuatilia kilimo cha korosho katika mikoa ya kanda ya kati, yaani Dodoma na Singida.
Sina data za uhakika lkn kwa taarifa zilizopo ardhi ya Singida na Dodoma zinafaa sana kulima korosho na yield yake ni kubwa kushinda mikoa ya kusini.
Wilayani manyoni zimepandwa korosho nyingi sana karibu hekta 12000 na zinavutia kwa kweli, Kitu kizuri ardhi bado sio ghali huku nami nishaanza kuchukua mamia ya ekari kwa kilimo hiki.
Kangomba utafilisikiaSalam wadau ningependa kujua namna ya kufanya biashara ya korosho changamoto moto na faida zake ...shukran
2,607/=,2,605:= & 2,550/=Aliyopo kwenye mnada leo masasi na Tandahimba atupe mrejesho wa bei kama mnada umeshafanyika huko