mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,564
- 6,403
For hybride variety, it takes 3-5 years from transplanting to harvesting season.hivi, how long does it take kuanza kuvuna tangu upande miti ya mikorosho
For hybride variety, it takes 3-5 years from transplanting to harvesting season.hivi, how long does it take kuanza kuvuna tangu upande miti ya mikorosho
Asante sana.HABARI,
"Faza1980,
Unajua ule msemo unaosema kwenye miti hakuna wajenzi unaendana na haya mambo kwa kuwa tunaaridhi basi tunabweteka kuichezea kuna jamaa alisema hapa eti mita 12 kwa kila mti na mti nikashangaa sana wakati kwa heka ya mita 70 kwa 70 huwezi kupanda chini ya mikorosho 100 india wanapanda mpaka mikorosho 150-200 kwa heka na wanavuna wewe hujachelewa hakuna kuchelewa Duniani mpaka umeingia kaburini chukua maamuzi sasa tena maamuzi sahihi.
LUMUMBA
Hata hiyo ya kisasa huja kukua huwa kama ya kizamani, njoo shambani kwangu uione, usione inazaa ikiwa na tawi moja ukadhani inaishia hapo.Bila shaka unaongelea Miti ya Korosho ile ya Kizamani.
Swali langu. Jee? Kwa Heka moja inatakiwa kitaalamu upande miche mingap? Na je, ukishapanda mikorosho ni ikawa mikubwa unaweza ukapanda mahindi yakakubali au mboga mboga. Au unaweza ukaotesha nyasi za mifugo ikakubali
Nimependa hapo uliposema
Duniani hakuna kuchelewa hadi unaingia kaburini..nami naongezea "utakachokifanya hapa duniani siyo lazima ukifaidi wanaweza kufaidi Hata wanao"
Hongera sana mkuu kwa kumpa taarifa sahihi na anwani sahihi, pia namshauri kabla hajaanza kulima afike ofisi ya kilimo katika halmashauri ambako shamba lake linapatikana ili iwe rahisi kupata huduma za kitaalamu wakishirikiana na hicho kitu cha utafiti. Nakumbuka mwaka jana zimetolewa miche kwa wakulima wa mikorosho bure, naamini akienda na wazo lake atapokelewa na kupata huduma yenye tija maana kaingia wakati mwafaka.
Kwa uzoefu wako kipimo sahihi bila kutumia vibaya aridhi ni mita ngapi mti hadi mti?hata hiyo ya kisasa huja kukua huwa kama ya kizamani, njoo shambani kwangu uione, usione inazaa ikiwa na tawi moja ukadhani inaishia hapo.
Unalima sehemu gani mkuu? Nataka Mimi nije wakati wa musimu kwa ajili ya manunuz na kwa wakulima wengine VP nitaweza kununua sh ngp per kg?hata hiyo ya kisasa huja kukua huwa kama ya kizamani, njoo shambani kwangu uione, usione inazaa ikiwa na tawi moja ukadhani inaishia hapo.
Njoo Liwale pia. Korosho zinapatikana kwa wingi sana.Unalima sehemu gani mkuu? Nataka Mimi nije wakati wa musimu kwa ajili ya manunuz na kwa wakulima wengine VP nitaweza kununua sh ngp per kg?
Nakucheck PM mkuu shukranNjoo Liwale pia.Korosho zinapatikana kwa wingi sana
OK mkuuNakucheck PM mkuu shukran
Kaka lumumba samahani mikorosho 17 waweza pata gunia ngp