Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,183
- 3,547
1. Tindikali.....inshu ya watu kumwagiwa tindikali
2. Madawa ya kulevya- vijana wengi wa kitanzania kukamatwa na madawa ya kulevya
3. Ngumi bungeni
4. Mkutano wa CHADEMA kupigwa bomu Arusha mpaka watu kufaliki dunia
5. Bomu lilopigwa kanisani Arusha na baadhi ya watu kufariki dunia
6. Kupigwa risasi na kukamatwa kwa shehe Ponda Issa Ponda
7. Kagame na Tanzania
8. Kutegwa kwa Tanzania East Africa Community
9. Katibu mkuu wa CCM mkoani Mwanza aliyepigwa na wanachi wenye hasira kali
10. Vuguvugu la Tanzania na m23 nchini Congo
Kama kuna mengine ambayo nimesahau unaweza ongeza na jee 2014 unatabili nini ni matukio gani yatashika kasii....