Fahamu kumi bora ya matukio yaliyoshika kasi na kuandikwa magazetini 2013 nchini Tanzania

C Programming

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
2,978
2,000

1. Tindikali.....inshu ya watu kumwagiwa tindikali

2. Madawa ya kulevya- vijana wengi wa kitanzania kukamatwa na madawa ya kulevya

3. Ngumi bungeni

4. Mkutano wa CHADEMA kupigwa bomu Arusha mpaka watu kufaliki dunia

5. Bomu lilopigwa kanisani Arusha na baadhi ya watu kufariki dunia

6. Kupigwa risasi na kukamatwa kwa shehe Ponda Issa Ponda

7. Kagame na Tanzania

8. Kutegwa kwa Tanzania East Africa Community

9. Katibu mkuu wa CCM mkoani Mwanza aliyepigwa na wanachi wenye hasira kali

10. Vuguvugu la Tanzania na m23 nchini Congo

Kama kuna mengine ambayo nimesahau unaweza ongeza na jee 2014 unatabili nini ni matukio gani yatashika kasii....
 

MAHORO

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
7,594
2,000
Mengine ni kinana kuua tembo wetu,, kapuuya kuba madent,,dr mvungi kuuawa
 

Tyta

JF-Expert Member
May 21, 2011
12,793
2,000
HII ISHAKUWA SEHEMU YA MAISHA YETU..SI HABARI TENA..
 

George Joseph

Member
Sep 25, 2011
55
0
Chadema na ugaidi
Zitto na sakata la kuvuliwa madaraka
Katiba mpya
Kuteswa kwa Dr ulimboka, Absalom Kibanda
Kifo cha madiba
 

deonova

JF-Expert Member
Apr 22, 2013
742
500
Meli iliyokamatwa nje huko (sijui ilikuwa Pakistan ile) ikiwa na biashara haramu huku ikipeperusha bendera ya Tanzania

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
1,680
2,000
Afisa utumishi Chato (bwana Donge) kuweka njaa mbele wakati wa kuhudumia waalimu,
Ulaaniwe Donge kwa kutaka Rushwa.
 

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,061
2,000
lile gorofa kumi lilianguka huko bongo na serikali ikaahidi kubomoa lile lingine unaweza kuliweka kwenye kumi bora?
 

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,061
2,000
Meli ya Kinana yakamatwa na meno ya Tembo na yeye kudai meli ni yake ila meno si yake
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom