...Msindima nao ni ujinga pia!!!
Aisee nimecheka kweli naona hii ni ya jioni njema,sasa bado nakuuliza swali kwa hiyo sipaswi kumpenda jamaa kwa kupitiliza itakuwa ni ujinga au?
Na je limbwata lipo au?
...Msindima nao ni ujinga pia!!!
Laligeni umenichekesha,je mwanamke nae akimpenda mwanaume kupita kiasi nayo inaitwaje?
Kuna kitu anakitafuta kama sio kumchuna basi nikumlia visenti vyake tu.
Mmhhh Fidel80 nawe kwa hiyo basi hata na nyie basi huwa mnatuchuna kama ni hivyo ina maana ukimpenda jamaa ( kwa ile style ya kijinga anayosema Laligeni) kuna kitu unataka toka kwake?
hali ya kufanyiziwa madawa na mwanamke ili usisikie la mtu!, yani wewe hata nduguzo husaidii, sometime mpaka unafua, unakosha vyombo, unaenda kujenga ukweni, huna sauti ndani ya nyumba etc etc
na hilo Limbwata liki-expire moto wake hauzimiki ...