Wanaume tumekuwa dhaifu sana kwenye suala la Mapenzi

Gaddaf i06

JF-Expert Member
Nov 14, 2022
1,759
2,795
Wanaume/vijana wa kiume tumekuwa dhaifu sana kwenye suala la mapenzi.

Mwanaume unaenda kukutana na mwanamke kwa mara ya kwanza halafu wewe mwanaume ndo umejawa hofu na wasiwasi kuliko mwanamke mwenyewe!

Mwanaume unatongoza mwanamke kwa kulia lia na kujikombakomba kana kwamba anamuomba uhai!

Kuna wanaume wanarimotiwa na wake/wapenzi wao unaweza kusema wamerogwa kumbe ni wazima, hakuna cha limbwata ni ufala tu.

Wanawake kwasasa wanajiona matawi ya juu kwa sababu wanaabudiwa na baadhi ya wanaume!

Shida ni kutokujiamini/ kuendeshwa na hisia au ni nini?

Hivi ni kweli ujasiri wako, kujiamini kwako, akili zako zote na uanaume wako kwa ujumla, mbele ya Mwanamke ndo mwisho?

Wanaume/vijana wa kiume tumekuwa dhaifu sana kwenye suala la mapenzi.

Huo Uzi hapo juu, ulishawahi kulalamika kuwa unashinda kumsahau ex wako amabe aliahidi kukuoa,ila mkapotezana.

Tena ulilalamika, alikuacha bila kukukula. Alafu leo hii unaleta thread nyingine, unajitanabahi kuwa wewe ni mwanaume.

Pathetic
 
Bandari yetu imeuzwaaaaaa!

Mileleeeee!

Tumekuwa dhaifu pia kwenye kutetea bandari yetu.....

Screenshot_20230610_210059_WhatsApp.jpg
 
Huo Uzi hapo juu, ulishawahi kulalamika kuwa unashinda kumsahau ex wako amabe aliahidi kukuoa,ila mkapotezana.

Tena ulilalamika, alikuacha bila kukukula. Alafu leo hii unaleta thread nyingine, unajitanabahi kuwa wewe ni mwanaume.

Pathetic
mmeshavuta mafile yake tayari 😂😂😂😂
 
Huo Uzi hapo juu, ulishawahi kulalamika kuwa unashinda kumsahau ex wako amabe aliahidi kukuoa,ila mkapotezana.

Tena ulilalamika, alikuacha bila kukukula. Alafu leo hii unaleta thread nyingine, unajitanabahi kuwa wewe ni mwanaume.

Pathetic
afu unaeza kuta ni jike hilo
 
Tatizo wanahisi humu ni fesibuku. Watajiandikia wanachojisikia, alaf tutasahau
fesibuku ndo wapi! Kula kilicho mezani usiulize nani kapika. Ukiona hakifai pita kushoto ukifika mbele kunja kulia, kwa mbele kdogo utakutana na mada za bandari, zama humo humo
 
watu wanafake maisha halafu wanajisahau,, kumbe raia tunakumbuka😃😃😂, sasa sijui atajitetea nini
Kashajitetea huko juu, kuwa sikumuelewa.

Wakati kwenye ule Uzi, hata alivyokuwa anajibu mwanzoni, alikuwa anaigiza kama demu
 
Back
Top Bottom