Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Kaunga,usiusemee moyo wa mwenzako wanaweza wakaja!Sio kila jambo wengine wanaliona kama unavyoliona wewe!

I hope so, ndio maana nikasema tusibiri waje!
Kwa mtazamo wangu, limbwata iwepo isiwepo, ifanye kazi isifanye; ninaamini kupendana jinsi mlivyo na si kwasababu ya kitu fulani. So kupendwa kwaajili ya limbwata sounds fake to me!
 
Last edited by a moderator:
Kaungai agree,it fake!But ipo?Ndo swali la msingi!
 
Last edited by a moderator:
siri ya tiba za kienyezi za mazingaombe ni kukusanya vitu strange na kuvifunga katika dizaini strange pia.

Chukua mkaa, saga, changanya na mbegu za pili pili kichaa kavu tafuta na kinyesi cha fisi na moyo wa simba mkavu, funga kwenye kitambaa chekundu tumbukiza kwenye kibuyu, wakati wa kugawa dawa chombo cha kubebea iwe kitambaa cheusi.
Mteja lazima achukue dawa kwa akiwa kakupa mgongo, kiganja kakipindua.

Na akiwa anaenda asigeuke nyuma.

Jinsi ya kuweka dawa, hakikisha mmeo hajui, changanya kwenye maji ya kuoga asubuhi na jioni kwa siku tatu.

Nyingine tia kidogo kwenye chakula mara moja kwa siku tatu.

Ili dawa ifanye kazi zidisha mapenzi kwa mmeo, pika chakula anachopenda, usimjibu neno baya, dawa haitafanya kazi, mpe mchezo kila anapotaka. Hata ukimfumania mbembeleze tu.

Afu mtu anaamini dawa imefanya kazi wakati ni hiyo paragraph ya pili toka mwisho. Kinyume cha werevu ndio waliwao.
 
  • Thanks
Reactions: AOL
Come on; do u see mdada wa JF, akasema kuwa anatumia hiyo vitu, u must be kidding!

Wadada wa humu, full educated n hence liberated, full maconfidence, full ma-awareness, full you name it! Akitokea mmoja akawa herself atashambuliwa huyo, mpaka au abadilishe ID na kuja kisister do au apotee jumla!

Tehe tehe tehe tehe tehe.......
I reserve my comments.
 
Wakati nipo chuo niliwahi kuambiwa na dem wangu NAMNA YA KUTENGENEZA LIMBWATA: Ni hivi, chukua kidogo nywele zako za sehemu ya siri changanya na nywele za huyo unaetaka akupende, kisha muwekee kwenye chakula chochote. Akila tu sikilizia habari yake; Atakuwa anawazia huko tu kazi nyingine zote anasahau. Eiyer nimekuelekeza tu namna ya kutengeneza, usije uka test bure.....

Makubwa!
Jamani, huwa tunalishwa mengi sana ndugu zangu!

You will never know with women
 
mmmh, hata humu wapi, kwa nini wakosekane.

Ila siku hizi wadada wamezidi kwa uchawi wa kununu hasa kwa ajili ya mapenzi.

Whether unafanya kazi au lah, hapo sina komenti.

Kuna mmoja alikuwa na hirizi kwenye pochi yake inapumua, tena loya wa kampuni kubwa tu. Ila haikujulikana kama ilikuwa ya mapenzi au kazi.

Come on; do u see mdada wa JF, akasema kuwa anatumia hiyo vitu, u must be kidding!

Wadada wa humu, full educated n hence liberated, full maconfidence, full ma-awareness, full you name it! Akitokea mmoja akawa herself atashambuliwa huyo, mpaka au abadilishe ID na kuja kisister do au apotee jumla!
 
si bora hata nywele?

Nyingine inahusu kuosha nanii asubuhi, yale maji yanatumika kupikia chai.

Makubwa!
Jamani, huwa tunalishwa mengi sana ndugu zangu!

You will never know with women
 
Kongosho nakubaliana nawe! Nakumbuka story niliyosimuliwa na marehemu babu wangu. Inaitwa Nyama ya ulimi; naweza isimulia ukitaka!

Lkn, nina dhana nyingine pia! As long as tunaamini kuna Mungu; maana yake shetani naye yupo! So mimi ninaassociate hiyo Limbwata hasa ya kupewa na waganga wa kienyeji na ushikina na uchawi; just like kutafuta utajiri na masecret society. So ikotokea kwa stahili hiyo, huenda ikafanya kazi! Anyway huenda nimekuwa influenced zaidi na kuona yanayotokea Emmanuel TV kwa TB Joshua.
 
Last edited by a moderator:
Kongosho
Ha ha ha; l like it! Halafu huyo loya lazima atakuwa wa kwanza kuponda ushirikina na vitu kama hivyo. Mimi huwa nacheka sana, ninapozipata za mafisi aah sorry maafisa wakubwa wakigongana kwa waganga wakitafuta limbwata ya kazi! LOL
 
Imbwata ya kazi ni bonge ya dili!
 
Last edited by a moderator:
Duniani kuna vituko sana.

Mtu anaponda huku anatumia bidhaa, dah.

Kongosho
Ha ha ha; l like it! Halafu huyo loya lazima atakuwa wa kwanza kuponda ushirikina na vitu kama hivyo. Mimi huwa nacheka sana, ninapozipata za mafisi aah sorry maafisa wakubwa wakigongana kwa waganga wakitafuta limbwata ya kazi! LOL
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na wewe. Ushaidi wa limbwata ni wa kimazingira zaidi. Unaweza kuta mtu ni mke wa mtu lakini analetwa na gari la mabuzi wake mpaka mlangoni. Lazima majirani na ndugu wa conclude kuwa si bure ni dawa.
Na kuna wanawake wenye akili finyu wanafikia mpaka kutamba; yule nimemweka mkononi afurukuti; basi watu wana conclude ni limbwata.
Ushaidi mwingine ni mabango ya waganga wa kienyeji wanavyojitangazia kuwa wana dawa ya kumtuliza mpenzi au nyie hamyaoni mitaani.
Sasa kama dawa zinafanya kazi kweli au wanacheza na saikolojia ni another case
Si ni mazingara tu na mapepo....
Nilifuma communication ya binti huyo na mienendo kwa ujumla ya hao dah
Limbwata noma sana jamani
 
....mapenzi ili kuneemeka yanahitaji nyama ya ulimi tu...msiniulize nyama ya ulimi inapatikana bucha zipi 🙂🙂

Last edited by a moderator:
Labda Zanzibar Butcher pale Ubungo.

....mapenzi ili kuneemeka yanahitaji nyama ya ulimi tu...msiniulize nyama ya ulimi inapatikana bucha zipi 🙂🙂

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom