mwanangu mpendwa hili litakuwa jambo la mwisho la kumwambia mtu afanye.
katika makuzi yangu nimeona wanaume na wanawake walioathirika na haya na ukweli nakuambia wapo ambao wamekuwa mataahira na wengine vilema kabisaa kwasababu ya kulishwa uchafu kama huu.
to me uchawi kwa mwanaume ni usafi wa mwanammke binafsi, heshima ya kweli ikiwa imebebwa kwenye nidhamu ya utu, upendo wa dhati na kujituma basi mengine yoote ni ujinga mtupu.
let me tell you hata kama mke atakosea akamcheat mumewe ila kama mume akipima na kukuta mkewe ni mtiifu anayoheshima yenye utu na upendo wa kweli pia ni muwajibikaji lazima mume ataangalia second side as kwann mke wangu ameni cheat na kama sababu ipo basi atatafuta njia ya kuiondoa kabisa.
ukisema mtu alaze nyama kumani siku 7 kisha sijui uiweke kwenye msosi ale baba ni ujinga, ukisema uoshee maji ke kisha upikie ni ujinga ukisema umchukue finnyofinyo umtie dawa umpe baba ndipo unamuharibu kabisaaa na kumfanya awe poyoyo na mlemavu wa mguu wa 3.
nimeyashuhudia haya tena siku wakina mama hawa wanaugama inakuwa ni aibu manake unakuta baba yuko kama hayupo.
ushirikina kwenye mapenzi sio kitu kizuri kabisa.