Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

images.jpg
 
bado nasubiri mtiririke ndipo na mm nishushe nondo zenyewe
 
jinsi ya kutengeneza limbwata---chukua nyoka aliyeachika mkaushe,kata kiuno chake kisagesage,chukua k.ende za mnyama ngedere jike changanya na unga wa kiuno cha nyoka!changanya na mizizi ya uyoga kisha tafuta mkojo wa tembo aliyekoswakoswa na majangili mara tatu,changanya!mchanganyo umekamilika!

ku-test kama mchanganyo wako unafanya kazi paka kidogo ktk dole gumba nenda porini mpake mnyama simba puani akipiga chafya basi ujue dawa ipo kamili gado

uweke ndani mchanganyo wako mpaka feb 29 uunywe!kamwe hutaachwa na mpenzi!
 
Utauwa watu huko porini, binadamu hana adabu ati kuna wengine wataenda kufanya kweli.
 
Kwa muda huu ulipost nadhani utakua UNAOTA
jinsi ya kutengeneza limbwata---chukua nyoka aliyeachika mkaushe,kata kiuno chake kisagesage,chukua k.ende za mnyama ngedere jike changanya na unga wa kiuno cha nyoka!changanya na mizizi ya uyoga kisha tafuta mkojo wa tembo aliyekoswakoswa na majangili mara tatu,changanya!mchanganyo umekamilika!

ku-test kama mchanganyo wako unafanya kazi paka kidogo ktk dole gumba nenda porini mpake mnyama simba puani akipiga chafya basi ujue dawa ipo kamili gado

uweke ndani mchanganyo wako mpaka feb 29 uunywe!kamwe hutaachwa na mpenzi!
 
libwata nisumu inayokwenda kuhalibu ubongo wa mwanaume aliyekula , kazi ya libwata nikuua ubongo wamwaume na kumfanya kama zezeta .hii sumu nimbaya sana kwani huua kabisa ubongo wa mwanaume na kushindwa kufikiri sahihi . ufanisi wakazi wa mwaume ushuka na mwisho kushidwa kufanya kazi na kufukuzwa kazi. libwata ni sawa na madawa ya kulevya lipigwe vita kama madawa ya kulevya kwani yote yanaenda kuhalibu ubongo
 
Mkuu Amavubi huyu Dr. Kalongoti amekuficha Maana ya neno Libwata yeye amekwambia

kuwa libwata ni chakula lakini hakuku fafanulia hiyo Libwata ni chakula cha aina gani? Na akina nani wafanyaji au wanaofanyiwa na hilo limbwata?

Mimi yote ninajuwa kuhusu hiyo Dawa ya Limbwata lakini siwezi kusema hapa wala sehemu nyingine ni siri yangu. Ninaweza

kukufafanulia ni nini maana ya neno hilo Limbwata? Nijuavyo mimi Maana ya neno Limbwata ni Mwanamke kumfanyia mume

wake au Bwana wake mjinga wa kimapenzi ndio maana ya neno hilo Limbwata ni dawa fulani inayofanywa na Mwanamke kwa ajili ya

mume wake amtii na atulie kimapenzi awe huyo aliyefanyiwa hiyo Dawa ya Limbwata ampende mke wake na awe anamsikiliza mke wake katika ndoa yao hao

wote wawili. Na mfanyaji mkuu anakuwa ni mke juu ya mume wake ndio maana halisi ya neno Limbwata Nina Log Off.
 
Sie wanaume tunalishwa vitu vya ajabu sana.....si ajabu matumbo yanajaa utadhani kitambi cha menu kumbe matakataka tu...
VD Umenikumbusha Bro wangu,mkewe tulienda nae Tanga kumuona Bibi sasa kila akimpigia cm mara kaenda mikanjuni,mara kaenda magomeni,mara akiulizwa uko wapi anasema niko majengo,tulipo rudi kaja na mafurushi tena sasa siunajua tkitoka nyumbani kwa wazee unavyo fungashiwa,Mihogo mchunga na mazaga zaga kibao bro akaanza enhe nilishe tuu wala usifanye kwa siri mke wangu nilete ninywe waziwazi huu utumbo wangu ushabadilika rangi kwa madawa
nilichekaaaaa nikasema maskini weeee....nikiona hivyo nasema mtume wanagu mungu awanusuru na wanawake kama hao..
 
Hata mimi nimeona Mkuu Mzizimkavu, ila nimeweka kichokonoleo cha mada, ulichosema ni sahihi kabisa lakn aghalabu limbwata huwekwa kwenye chakula sijui kama kuna jinsi nyingine, na nyama ndiyo hasa/aghalabu hutumika kwa sababu za kiufundi

nadhani wasomaji wamekupata huenda uruhusu waku PM ili ufanye udadavuzi jadidifu
Mkuu Amavubi huyu Dr. Kalongoti amekuficha Maana ya neno Libwata yeye amekwambia

kuwa libwata ni chakula lakini hakuku fafanulia hiyo Libwata ni chakula cha aina gani? Na akina nani wafanyaji au wanaofanyiwa na hilo limbwata?

Mimi yote ninajuwa kuhusu hiyo Dawa ya Limbwata lakini siwezi kusema hapa wala sehemu nyingine ni siri yangu. Ninaweza

kukufafanulia ni nini maana ya neno hilo Limbwata? Nijuavyo mimi Maana ya neno Limbwata ni Mwanamke kumfanyia mume

wake au Bwana wake mjinga wa kimapenzi ndio maana ya neno hilo Limbwata ni dawa fulani inayofanywa na Mwanamke kwa ajili ya

mume wake amtii na atulie kimapenzi awe huyo aliyefanyiwa hiyo Dawa ya Limbwata ampende mke wake na awe anamsikiliza mke wake katika ndoa yao hao

wote wawili. Na mfanyaji mkuu anakuwa ni mke juu ya mume wake ndio maana halisi ya neno Limbwata Nina Log Off.
 
Nikiweza nitamwambia mama watoto wangu anitafutie limbwata.
 
Back
Top Bottom