Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,617
VD Umenikumbusha Bro wangu,mkewe tulienda nae Tanga kumuona Bibi sasa kila akimpigia cm mara kaenda mikanjuni,mara kaenda magomeni,mara akiulizwa uko wapi anasema niko majengo,tulipo rudi kaja na mafurushi tena sasa siunajua tkitoka nyumbani kwa wazee unavyo fungashiwa,Mihogo mchunga na mazaga zaga kibao bro akaanza enhe nilishe tuu wala usifanye kwa siri mke wangu nilete ninywe waziwazi huu utumbo wangu ushabadilika rangi kwa madawa
nilichekaaaaa nikasema maskini weeee....nikiona hivyo nasema mtume wanagu mungu awanusuru na wanawake kama hao..
Hao ndo wake wa kweli.