Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

ngoja ni muulize bibi yangu ikiwa kwetu lipo na linaitwaje....
 
Tanzania kuna makabila mengi mimi naomba kuuliza kuna aina ngapi za Hii kitu inaitwa Limbwata???
Kwetu ka kabila yetu kuna kitu kinaitwa!!"SHUNTAMA OGENDE OGARUKE"Hii ukipewa unashahau hata JINSIA YAKO!!!
Je kwenu mna nini???Je Limbwata la wapi kali??
KakaKiiza unajua limbwata linaloitwa ''PANGABOY ''mimi nnalo ntakuwekea
 
Last edited by a moderator:
Hehehehee kwani tatizo liko wapi?
Ushawahi kusikia mtu analalamika sijampeleka Marangu Juu?
We nivea kakushinda sidhani kama utamuweza Paloma
Kwani ulisikia mimi ninampango na bi Paloma??

mmppphhh........ Erickb52 unazijua kelele za debe tupu?!?
Ehe:confused2:kumbe uko nyuma ya pazia nilikuwa sijakuona kumbe ulikuwa unabadili nguo uje stejini karibu!

Hahahahaaa si zile kama za KakaKiiza ?

hakiamungu kwa majungu nakuvulia kofia aisee lol unayaweza sana.mbona wanyanyasa pedeshee wangu KakaKiiza unataka niishi mujini kwa tabu siyo?
Huyu nimeisha mzoea kapigwa chini na Preta akaja kwako ukatolea mbafuni sasa anatangatanga!utajibeba Erickb52

mwache KakaKiiza apumuweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee unamsonga kama mgoni wako lol kumbe kakuolea dada zako huoni kakupunguzia kufuga mbwa lol huna shukani weye
Umeona baelezee bandugu

KakaKiiza unajua limbwata linaloitwa ''PANGABOY ''mimi nnalo ntakuwekea
Nakuwa nazunguka hapo hapo na kazini sitaki mimi nivea nivea!!Leta hii kitu mimi niwe kazi yangu moko!
 
Last edited by a moderator:
nakuwa nazunguka hapo hapo na kazini sitaki mimi nivea nivea!!leta hii kitu mimi niwe kazi yangu moko!
heheheheeheh wapenda ''pangaboy'' weye ???hii limbwata original haidhuru mtu wapewa waendelea na shughuli zako ila shurti ujue kulia kama mbuzi hahahh utaweza
 
kumbe maneno yote unataka ndyofu hay unilindie hili goma langu nakuachia utoke nae leo thursday na unywe ndyofu zakukutoshaaaaa sawa KakaKiiza?
Hivi goma lako lina Master Card au linatumia tigo Pesa?
Kama hana Master Card hanipati
 
Sijui kama ni kweli!
Kuna moja ya warangi kondoa nilisikia mwanamke anachukua kipande cha nyama
iliyopikwa halafu anaiweka(kuingiza) kwenye nyeti zake,wakati anakupatia
msosi ile nyama anaitoa anakuchanganyia na nyama zingine,Ukishakula
msosi ndo basi tena.
Wanawake wengine huwezi kuwaona tena,akikupa nguo ufue lazima umwambie
"baby kuna zingine chafu"
 
Kwani ulisikia mimi ninampango na bi Paloma??

Ehe:confused2:kumbe uko nyuma ya pazia nilikuwa sijakuona kumbe ulikuwa unabadili nguo uje stejini karibu!

Huyu nimeisha mzoea kapigwa chini na Preta akaja kwako ukatolea mbafuni sasa anatangatanga!utajibeba Erickb52

Umeona baelezee bandugu

Nakuwa nazunguka hapo hapo na kazini sitaki mimi nivea nivea!!Leta hii kitu mimi niwe kazi yangu moko!
Kwanza umenikumbusha Preta wangu lol
 
Last edited by a moderator:
Hehehehee kwani tatizo liko wapi?
Ushawahi kusikia mtu analalamika sijampeleka Marangu Juu?
We nivea kakushinda sidhani kama utamuweza Paloma

mmppphhh........ Erickb52 unazijua kelele za debe tupu?!?

Hahahahaaa si zile kama za KakaKiiza ?

hakiamungu kwa majungu nakuvulia kofia aisee lol unayaweza sana.mbona wanyanyasa pedeshee wangu KakaKiiza unataka niishi mujini kwa tabu siyo?

mwache KakaKiiza apumuweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee unamsonga kama mgoni wako lol kumbe kakuolea dada zako huoni kakupunguzia kufuga mbwa lol huna shukani weye

hahahah KakaKiiza ana mastercard hata M-pesa hajajisajili hana hahahahaah chezea pedeshee weye ?
Tena mwambie nina goldcard,na dinnercard menyu napiga serena!
 
Back
Top Bottom