Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,331
- 4,366
Tafuta namna ulobby in mikopo ya halmashauri pale kinondoni.Mtoa Mada nakuuna mkono na Mimi Binafsi tulifungu Partnership mwaka juzi ikiwa kwenye makaratas tunamshukuru Mungu Sasa Tumeingia kwnye VRN last week na Ofisi ipo MAGOMENI
Tumeajiri vijana wa 5 permanently na 3 temp-Vibarua
Kampuni inadeal na Ufungaji CCTV camera,Electrical Fence ,GPS Tracking, n.k (insta @cimax_tech_solutions au www.climaxtechsolutions.co.tz)
Nilivyoingia kwenye VAT for the first time nikajipiga kifua nikaajiita "Managing Director " nikamalizia kwa kicheko Kikubwa Sana
Jamani kila kitu is possible nakaribisha wawekezaji Sasa tuinvest kwenye GPS tracker na tracking nna proposal Idea kubwa Sana na nzuri changamoto no CAPITAL TU