Zombieboss
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 727
- 742
Hii post imenisaidia katika wazo nililokua nalo,
Namalizia tafiti mbili tatu ili niweze kuanza taratibu
Namalizia tafiti mbili tatu ili niweze kuanza taratibu
Capital kiasi gani inahitajikaMtoa Mada nakuuna mkono na Mimi Binafsi tulifungu Partnership mwaka juzi ikiwa kwenye makaratas tunamshukuru Mungu Sasa Tumeingia kwnye VRN last week na Ofisi ipo MAGOMENI
Tumeajiri vijana wa 5 permanently na 3 temp-Vibarua
Kampuni inadeal na Ufungaji CCTV camera,Electrical Fence ,GPS Tracking, n.k (insta @cimax_tech_solutions au www.climaxtechsolutions.co.tz)
Nilivyoingia kwenye VAT for the first time nikajipiga kifua nikaajiita "Managing Director " nikamalizia kwa kicheko Kikubwa Sana
Jamani kila kitu is possible nakaribisha wawekezaji Sasa tuinvest kwenye GPS tracker na tracking nna proposal Idea kubwa Sana na nzuri changamoto no CAPITAL TU
Pia unaweza kutumia ujuzi wako wa kuandika business proposal kwa kuufanya kwa vitendoCapital kiasi gani inahitajika
So mzee unapush sales above 100 milion Tshs? Si ndio.Mimi nafanya hii, imenisaidia sana.
Niko na kila kitu cha kampuni,
Niko registered BRELA, TRA niko msafi, niko nakata leseni za biashara kila mwaka,
Nimeajiri mtu mmoja wa kunisaidia mishe zangu, kazi zingine natumia vibarua au nauza kazi kwa mtu anafanya me namlipa wakati nasubiri kulipwa huku.
Sina ofisi, ila napelekaga mkataba wa pango TRA kwa ajili ya withholding ya pango.
Nipo hadi na risiti ya EFD na VAT, na VAT yao nalipa kila mwezi.
Mungu akisaidia mwakani naweza kuwa na physical location.
Kazi nyingi napata kutoka kwa marafiki, na watu niliofanya nao kazi wananiunganisha kwa wengine.
Hapana, VAT nilipata sababu mwanzoni nilikuwa nafanya professional tasks, ( kama technical consultant) na nina certificate ya governing board, so haikuwa ngumu. Though kwq miaka mitatu nimekuwa na sales average 50m per year. Zile nazokatia receiptSo mzee unapush sales above 100 milion Tshs? Si ndio.
Kuna maswali nilitaka kumuuliza mtoa mada ila nimeona hapa umegusia.Mimi nafanya hii, imenisaidia sana.
Niko na kila kitu cha kampuni,
Niko registered BRELA, TRA niko msafi, niko nakata leseni za biashara kila mwaka,
Nimeajiri mtu mmoja wa kunisaidia mishe zangu, kazi zingine natumia vibarua au nauza kazi kwa mtu anafanya me namlipa wakati nasubiri kulipwa huku.
Sina ofisi, ila napelekaga mkataba wa pango TRA kwa ajili ya withholding ya pango.
Nipo hadi na risiti ya EFD na VAT, na VAT yao nalipa kila mwezi.
Mungu akisaidia mwakani naweza kuwa na physical location.
Kazi nyingi napata kutoka kwa marafiki, na watu niliofanya nao kazi wananiunganisha kwa wengine.
Ofisi inaweza kuwa nyumbani kwako unapoishi kwa kuanzia.So unaweza kutumia mkataba wa unapokuwa au ukawaeleza TRA kwa maandishi kwamba nyumba ni yako kwa kuwasilisha utilities bill au document ya kuonesha umiliki wako.Kuna maswali nilitaka kumuuliza mtoa mada ila nimeona hapa umegusia.
Kama kampuni haina ofisi mkataba wa pango unauchukulia wapi?
Pia umesema angalau umeanza kupata kazi ndogo ndogo zinazokuwezesha kulipa kodi za TRA na kulipa wafanyakazi/vibarua,sasa kwa mtu ambaye hajapata tenda maalumu na inatakiwa aendelee kulipa kodi TRA si inakuwa hasara au hii imekaaje
Tafuta frem ya elfu hamsini weka kiti na meza ,ofisi tayariMimi nafanya hii, imenisaidia sana.
Niko na kila kitu cha kampuni,
Niko registered BRELA, TRA niko msafi, niko nakata leseni za biashara kila mwaka,
Nimeajiri mtu mmoja wa kunisaidia mishe zangu, kazi zingine natumia vibarua au nauza kazi kwa mtu anafanya me namlipa wakati nasubiri kulipwa huku.
Sina ofisi, ila napelekaga mkataba wa pango TRA kwa ajili ya withholding ya pango.
Nipo hadi na risiti ya EFD na VAT, na VAT yao nalipa kila mwezi.
Mungu akisaidia mwakani naweza kuwa na physical location.
Kazi nyingi napata kutoka kwa marafiki, na watu niliofanya nao kazi wananiunganisha kwa wengine.
Habari mkuuKaribuni kwa huduma ya usajili wa Kampuni na majina ya biashara uanze mwaka 2023 na biashara mpya