geofreyngaga
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 644
- 914
mkuu ingependeza kama ungetoa mchanganuo, maana hiyo 1.2M naiona ndogo sana. tusaidie kwa mchanganuo tafadhali.1,200,000.mkuu inatosha kabisa kwa kuanza at initial stage then biashara itakapokuwa na uhitaji kuongezeka ndio unaweza ukafanya more investment for your business.