Quartz360
Senior Member
- Mar 27, 2023
- 124
- 302
Habari zenu wakubwa!!
POLENI na HONGERENI kwa shughuli za ujenzi wa taifa.
Nina mpango wa kufungua MGAHAWA wa chakula hivi karibuni hapa mtaani kwangu.
Kutokana na kuwa na inshu nyingine ninayofanya kwa sasa nataka nitengenezee mfereji mwingine wa kujipatia kipato.
Nimeplan nitafute mpishi mmoja ambaye atakuwa kama CHIEF COOK wa MGAHAWA atakayesaidiana na wasaidizi hata wawili hivi. Huyu mpishi nitaingia nae makubaliano ya namna ya kumlipa, na hao wasaidizi wake haitakuwa inshu sana kwani kuwapata ni rahisi na malipo Yao siyo makubwa Sana.
Kinachoniumiza kichwa ni huyu mpishi mkuu ambaye atashughulikia maswala yote ya upishi, ubora wa chakula na huduma. Kingine, ni kwa kiasi gani naweza kufanya management nzuri ya huo MGAHAWA bila kuathiri ukuaji wake na wafanyakazi pia.
Na je huyu mpishi nitaingia nae mkataba gani ili aweze kufanya kazi vizuri.
NB; MTAJI
LOCATION
COMPETITION
Karibuni kwa wenye uzoefu na mradi huu.
Maoni, mapendekezo na ukosoaji wenye kujenga ni muhimu sana.
Asanteni.